Baada ya kupata taarifa za uhakika. Israel iliamua anza Operation iitwayo Shield Arrow.
Waliingia kuwasaka Wakubwa wa Vikundi vya kigaidi ndani ya Gaza, hadi sasa watu zaidi ya 24 wameuawa ikiwemo Magaidi na familia zao.
Bado mashambulizi ni makali sana kutokea Gaza, huku Israel nayo ikijibu kwa kushambulia yalipotokea.
Mfumo wa Ulinzi wa Iron dome unafanya kazi. Maeneo kadhaa kuna watu na majumba yameharibiwa Israel.
Israel kaapa kumaliza kila mhusika akiwemo Iran. Netanyahu kaapa kuanza vita na wanaowatuma hao Magaidi.
Swali: Je hao magaidi wanapata wapi hizo silaha?
Wamepata wapi ujuzi wa kutengeneza?
Je kwanini nchi za Waarabu zimekaa kimya?
Kwanini upande wa Gaza ndo waonekana ni wakorofi?