Israel forces 'ready to hit Iran if ordered'

hata sadam alibweka hivoivo, hata gadafi alibweka hivyoivo, lakini mwisho wake wote hawa wawili mmoja alijificha kwenye shimo la panya sijui mtaro wa choo, gadafi alijificha kwenye mtaro wa maji machafu.....waarabu wanajiamini kumbe hawana kitu......punguani kwelikweli.
 

kanisa lako lilikuambia Muirani ni mwarabu ???

wrong idea!!!!!, wrong thought!!!!
 
Duuuu nyie watt bwana.... Hivi ubora wa dini anaujua nani???
 
The deputy Chief of Staff of Iran's Armed Forces has warned Israel against any possible military move against Iran, saying it will cause the end of the Tel Aviv regime.

“If the Zionist regime [of Israel] tries to take any action against us, it will mark the end of its existence and there is no doubt that they are unable to harm the [Islamic] Revolution and the establishment in any way,” Brigadier General Mostafa Izadi said on Saturday.

Link hii
 
Du! kama jamaa wanauwezo wa kutumia internal oppositiona basi wana akili sana!!!!!!!!!!!!
Na waa rabu kama wanaweza kugawanywa kirahisi hivyo basi ni wajinga sanaaaaaaa!!....wanapelekeshwa tu!


Too bad the Iranian don't identify themselves as Arabs but Persian,they have completely different attitude compared to Arabs.......
 


Hivi ndio vita vya propaganda za Hollywood,sio kila unachokiona kwenye vyombo vya habari kweli baba
 

kusema kwel nachukia sana kiburi cha israel na ubabe wake wakisaidiana na marekan ila nikiangalia wanachokifanya boko haram kule Nigeria na kikundi cha uamsho pale Zanzibar, nikilinganisha na msimamo wa Iran kwa Israel ambayo ni taifa la ki......., inanipa shida kidogo kuisema vibaya Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…