"We think that a nuclear Iran is a very bad thing, which the world needs to stop and which Israel needs to stop -- and we are planning accordingly," Gantz said.
"In principle, we are ready to act"
Israel walishawahi kushambulia vinu vya nuklia vya Iraq kipindi cha Sadam Hussein,wakashambulia pia vinu vya nuklia syria,kwa hiyo hata Iran pia itapigwa muda ukifika.Afterall kulingana na mtandao wa weaklinks,vinu vya nuklia vya Irani,vilishalipuliwa na waisrael,ndio maana wakahamisha site mpya.Soma site hapo chini;
The Global Intelligence Files - Re: [alpha] S3/G3* ISRAEL/IRAN - Barak hails munitions blast in Iran
Silaha za Iran zilishatumika dhidi ya Israel na hazikuleta madhara makubwa.Iran kiwa kupitia their proxies,Hezbullar,Hamas and Islamic Jehadi,walishatumia silaha za Iran dhidi ya Israel,Shehab-3 and other missiles.Israel imejenga Iron Dome,kwa ajili ya ku protect there country with these missiles.Vita ndogo ya juzi na Islamic Jehad,waliweza kuzuia kwa asilimia 75%.Wanaendelea kuimarisha defence system.Kwa hiyo wanaona ni bora waiwahi iran kabla ya kutengeneza Bomu la nyuklia.
Mungu wasaidie wanao Israel ili wawasakafie boko-haram Mairan."We think that a nuclear Iran is a very bad thing, which the world needs to stop and which Israel needs to stop -- and we are planning accordingly," Gantz said."In principle, we are ready to act"Source: Israel forces 'ready to hit Iran if ordered' - Yahoo! News
"We think that a nuclear Iran is a very bad thing, which the world needs to stop and which Israel needs to stop -- and we are planning accordingly," Gantz said.
"In principle, we are ready to act"
Source: Israel forces 'ready to hit Iran if ordered' - Yahoo! News
ISRAEL ni nchi yenye nguvu sana, you can't even imagine kale kanchi kalivyo kadogo kwa umbile, lakini manguvu yake makubwa sana. UNACHOTAKIWA KUELEWA NI KWAMBA, kusambaratishwa kwa syria ni mpango mmoja wapo wa kuisambaratisha iran...kwasababu israel ilikuwa inajua fika kwamba, pindi itakapoanza vita vya muda mrefu na iran, syria ambao wako karibu nao sana wataisaidia iran...kwahiyo kusambaratishwa kwa syria na hiyo vita inayoendelea sasaivi, kutafanya iran ipigane peke yake....waarabu wote kuanzia saudi etc, hata egypt, hawapatani na iran ivyo msaada pekee wa iran ilikuwa syria. kwasasa wanachosubiri ni kitu kimoja tu, asad aishie kabisaaa, hata asipoishia, kuvunjwavunjwa kwa nchi yake, manyumba/majengo, na ushumi umevunjwavunjwa sana, syria haitapenda kujiingiza tena kwenye vita na israek pindi iran itakapoanza kupiga, kwasababu uchumi wao utakuwa mbaya kuliko sasa, devastation ya nchi yao itakuwa mbaya kuliko sasa, iran itabaki peke yake...na israel watarusha makombora toka israel hadi iran yale ya iran ni marahisi kwao kuyadaka hata kabla hayajatua....na hakutakuwa na bas close to israel ambayo iran itaingilia kuishambulia israel kwasababu rafiki yake mkubwa syria tayari amepoteza nguvu sana na rebels....
ndio nabii huyu huyu aliyetabiri kuwa chelsea itafungwa..na haikufungwa..vita vya tatu vya dunia is very emminent na huhitaji mtu kama tb joshua kukuambiaNafikiri hujajua dunia inapoelekea ila kama u mfatiliaji mzuri kuna nabii mmoja T. B. Joshua ametabiri kuwa kuna vita ya tatu ya dunia itatokea mwaka huu ambayo itaanzishwa na Israel na washirika wake Marekani na Uingereza dhidi ya Iran na washirika wake ambao ni China na Urusi na Japan. Niliangalia unabii huo Emmanuel TV.
Ukisikia ushabiki ndo huu sasa. Kwanini isiwe vice-versa? Acha hizo mkuu.[/QUO unacho
Hawa manabii wa uongo tumeshawazoea ,Mwenzake alitabiri mwisho wa dunia ikawa famba amesepa kimya kimya!!
unachotakiwa kuelewa ni kwamba, ni rahisi sana kuipiga iran kuliko kuipiga israel, sio ushabiki, na sasa syria ambayo ilitegemewa kuwashambulia israel au kutumiwa na iran pindi vita itakapoanza, imevurugwa kabisakabisa....iran sasa imebaki peke yake, ndio maana mataifa ya magaribi yamekazania sana asad apigwe, na yanatoa sapoti yote kwaajili ya kumnyongónyeza kabisa asiwe na hamu kabisa ya kuisaidia iran kwa namna yoyote ile....Ukisikia ushabiki ndo huu sasa. Kwanini isiwe vice-versa? Acha hizo mkuu.[/QUO unacho
kwa jeshi hili askari anapiga mizinga miwili kazi ipo......