Israel Defence Force(IDF)

Watoto wa kambo (wa mama Hajir,Ishmaeli),wanatukana watoto halali wa ndoa(wa Mama Sara,Isaka)na Baba Abraham.Maajabu kweli!
Hakuna tusi hata moja huo ni ukweli
mungu hawezi kubariki mambo ya haramu
Hajir ni mke halali wa nabii ibrahimu
hakuna mtume aliefanya mambo ya haramu
mitume wote wamebarikiwa wewe umekaririshwa pumba
 
Wavaa sendoz akili zao sawa hata asome vp
Teeh teeh we dada wa kigalatia sio bure.

Lazima utakua ulipigwa mimba na mvaa sendoz kisha akakumbia akakuacha single mother.

Sasa hasira zako zote zipo kwa wavaa sendoz.

Mada inahusu picha ya jeshi la Israel we unaingiza habari za wavaa sendoz wapi na wapi.

Amma kweli huyo mvaa sendoz alikua na haki ya kukukimbia mzigo kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…