Zantel Is your best choice, lakini kunamatatizo mengine zaidi tu ya kuwa na static IP.
Wakuu naomba kuuliza ISP gani hapa bongo anatoa services za static IP addresses kwani nahitaji kuitumia kwenye server yangu ya nyumbani.
Raha.com
To be precise providers wote wanatoa static public ip address kwa block. kinachotakiwa ni wewe kuomba na kuelezea matumizi yake kwani kuna sheria ya matumizi ya hizi public static addresses. ninavyojua mimi hutolewa bureee!!!
Mkuu fafanua zaidi Zantel category ipi?
Wanazo ADSL modems au?
au ni wireless router?
DeletedTo be precise providers wote wanatoa static public ip address kwa block. kinachotakiwa ni wewe kuomba na kuelezea matumizi yake kwani kuna sheria ya matumizi ya hizi public static addresses. ninavyojua mimi hutolewa bureee!!!
wewe umewajaribu mtandao gani wakakupa?
Kwa kazi anayohitaji tumia OP, haitakiwi kuwa na public IP. Private IP ndio chaguo sahihi, kwa sababu nyingi sana, moja wapo ni blacklisted IPs
wengi sana. raha.com, africaonline, ttcl na wengine wengi. wanafanya subnetting tu mkuu.
Ni kwa routers, Ila licha ya kuwa na static IP bado utatakiwa ku allow incoming traffic. Another thing hapo, paper works! :wacko:
mkuu ulivotaja kule juu kule kwamba ISP yeyote nkajua hadi voda,tigo and airtel wana support
To be precise providers wote wanatoa static public ip address kwa block. kinachotakiwa ni wewe kuomba na kuelezea matumizi yake kwani kuna sheria ya matumizi ya hizi public static addresses. ninavyojua mimi hutolewa bureee!!!
Nimewacheki hawa maana na mm nina shida sana ila sasa web yao haieleweki
https://raha.com/fiber-reach/
je,wanakuvutia kwa shilling ngapi na charges zao ziko je?
Sorry, corrected my postjamani. private ips are not routable how can you send and receive traffics outside? well unaweza tumia private with NAT so hitaji la public lipo palepale kama static. sidhani kana una haja ya kuomba private ip address kama unajua networking
I work with them kaka
Kikubwa unapaswa kujua unahtaj public IP kwa matumizi gani
Sababu I doubted u to kea mwanzoni the way ulivyouliza
Nimekuta ikitumika katika kampuni flani: sijawahi cheki kwenye site yao. lakini nadhani hii inafanana Zantel | Part of EtisalatMkubwa hawa zantel ulishapata hiyo service yao?
Zantel | Part of Etisalat
nilivosoma hiyo page sijui kama ndo service unayoiongelea wewe na mbona inaonekana hamna kuvutiwa cable?