Ismail Jussa anahojiwa sasa katika makutano ya magic fm na Fina Mango
nitaweka updates hapa kwa wale walio mbali na redio
Updates
"kwa kuzungumza mfumo wa Serikali mbili badala ya mfumo Serikali tatu, ni ushahidi kwamba CCM hawajadili rasimu ya wananchi" @jussaCUF
"Madai yetu ya msingi ni mawili tu, 1. yapi ni mamlaka ya bunge la katiba na 2. rasmi ya wananchi ndio ijadiliwe" @jussaCUF

"UKAWA haitaishia katika suala la katiba, tumeunda timu ndogo kwa ajili ya kuangalia maeneo tutakayoendelea kushirikiana" [URL="https://twitter.com/jussaCUF"]@jussaCUF
[/URL]