Ismael Jusa na Zanzibar huru, ndani ya ccn, inside African | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ismael Jusa na Zanzibar huru, ndani ya ccn, inside African

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pulpitis, Oct 15, 2012.

 1. P

  Pulpitis Senior Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau leo katika kipindia cha inside Africa kwenye cnn tv, walikuwa zanzibar, mmoja wa watu waliofanyiwa interview ni Ismael Jusa, anadai zanzibar lazima irudishiwe sovereignty yake iliyopotezwa, na huko zanzibar ni vyama vyote vikuu viwiili CUF na CCM wanalipigania ilo.
  My take: je CCM na CUF uku bara ni tofauti na zile za Zanzibar? Mbona wao msimamo wao ni tofauti na wale wa zanzibar kama alivyosema Jusa leo cnn?
   
Loading...