Islamic Movement in Tanzania

nkobagu

Member
Apr 2, 2012
23
9
Great thinkers,

Nimebahatika kuaccess attached article, nimeipitia critically nikaona ina maswali na majibu mengi kuhusu msigano wa kidini katika nchi yetu. Nawapeni changamoto muisome between the lines ili kuona ni wapi tumeteleza, wapi tunaweza kuinuka na wapi tunaweza kuanguka kama taifa.

Ninaamini mchango wako katika context ya Article hii ni muhimu sana katika mustakabali wa Tanzania tuipendayo na tunayoitamani sote bila kujali dini, kabila, rangi, mkoa.

Tanzania yenye matumaini inakutegemea wewe na mimi.

Wasaalam
 
Attachments

  • ISLAMIC MOVEMENT IN TANZANIA 1970 - 2000[1].pdf
    1 MB · Views: 815
Tedo,

Umesoma paper yenyewe ukapata maudhui ? (Au ndio yale yale-If you want to hide something from an African put it in the Book!)
 
Mimi nilishawahi kuisoma hii paper pamoja na kitabu chote cha Mwembechai Killings. Kiukweli documents zote hizi zimejaa fitna na uchochezi mkubwa. Mind you, ni wasomi walioandika hizi documents.

Usipokuwa makini ukachambua pumba na mchele utawachukia wakristo bure!! Hii ndiyo chuki inayopandikizwa siku hadi siku na wale wanaojiita wanaharakati wa dini ya kiislam.

Ikumbukwe kuwa ukishapandikizwa chuki ya kidini uwezo wako wa kuchambua unakuwa blurred regardless of your level of education and exposre.

Ni sumu mbaya ajabu hawa jamaa wanapandikiza kwa umma wa watanzania. ukishajazwa sumu hii nawe unaanza kucheza ngoma ile ile ya waenezao chuki in the name of fighting for what they call muslims rights!!

Jamii ya Kitanzania kwa jinsi tulivyoishi kwa pamoja na kushirikiana bila kujali dini zetu kwa miaka mingi tumefika hatua kama ikitokea waislamu wakaanza kuwaua wakristo(eti wao wanaita Jihad) basi utakuta wanawaua ndugu zao, dada zao, kaka zao na wapwa zao. What will it profit muslims to kill christians if all Tanzanians are one and the same people?!

Angalieni Nigeria, wanauana kila siku bila ya kuwepo mshindi na mshindwa!! Can't you people learn from History or at least from what is happening in other countries?
 
Great thinkers,

Nimebahatika kuaccess attached article, nimeipitia critically nikaona ina maswali na majibu mengi kuhusu msigano wa kidini katika nchi yetu. Nawapeni changamoto muisome between the lines ili kuona ni wapi tumeteleza, wapi tunaweza kuinuka na wapi tunaweza kuanguka kama taifa.

Ninaamini mchango wako katika context ya Article hii ni muhimu sana katika mustakabali wa Tanzania tuipendayo na tunayoitamani sote bila kujali dini, kabila, rangi, mkoa.

Tanzania yenye matumaini inakutegemea wewe na mimi.

Wasaalam

Hawa jamaa Sijui Vipi, wanaweza kutoa evidence ya yaliyopo kwenye hii paragraph chini, ni sehemu ya introduction, wamesahau kuwa madrasa ndio zimesababisha hayo yote

Fifth we need to come into terms with the reality that the Church particularly the Catholic Church is in control of the Government by proxy. Through unseen hands it manipulates the political system in such a way its influence permeates everything from the Mass Media to selection of students to join secondary schools and other institutions of higher learning, securing scholarship, employment, promotion, for political office etc. etc. In short the Church is in control of the Executive, Judiciary and the Legislature. This is the reason the political system has been able manipulate the law with impunity as far as in effects Muslim interests, it has been able to ignore serious petitions submitted to the President, Prime Minster, and the Parliament by Muslims, it has been able to control and shape public opinion against Muslims.
 
Great thinkers,

Nimebahatika kuaccess attached article, nimeipitia critically nikaona ina maswali na majibu mengi kuhusu msigano wa kidini katika nchi yetu. Nawapeni changamoto muisome between the lines ili kuona ni wapi tumeteleza, wapi tunaweza kuinuka na wapi tunaweza kuanguka kama taifa.

Ninaamini mchango wako katika context ya Article hii ni muhimu sana katika mustakabali wa Tanzania tuipendayo na tunayoitamani sote bila kujali dini, kabila, rangi, mkoa.

Tanzania yenye matumaini inakutegemea wewe na mimi.

Wasaalam
many thanks mkuu
 
Motive behind such article is nothing but kuweka vielelezo vya kujastify ISLAMISATION OF TANZANIA. Ni maandalizi ya Jihad tu!!!
 
Haya mambo toka zama za muhammad licha ya kutembeza jambia na mikwala, utemi wa dhahir na siri yalimshinda na kafa mnyonge! Itakuwa zama hizi za Gp, lesser wippons, cruise misiles,...! Si wanatwanga maji tu? Hawajiulizi kwa nini nchi karibia zote za kiislamu hakuna utulivu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom