Islamic Banking - NBC yawatoa hofu wananchi kuhusu akaunti ya Kiislamu

Status
Not open for further replies.
Nilishaihama NBC. Siwezi kuhifadhi pesa zangu pamoja na fedha za majini
Utaumiza kichwa chako kwa mawazo,dini hii ina nyanja nyingi,utakimbia ngapi?Hata majina ya miji kadhaa ya Tanzania pamoja na jina la Tanzania,asili yake ni uislam,Dar es salaa,pia ni jina la kiislam,na mpaka lugha ya kiswahili ina maneno asilimia zaidi ya 25 ni ya kiislamu,nayo pia utayaiacha?Ukiongea au kuandika kiswahili,unatumia maneno ya kiislam,mpaka mitaa mingi ni ya majina ya kiislam,magari unayopanda yanatumia mafuta yanayotoka nchi za waislam.Anza kuacha kila kinachohusiana na uislamu,ndio tutajuwa kweli umeacha.Acha akili ya shule za kata.
 
Shk.ustadhi Ally,
Nashukuru kunijuza na vizuri kuelimishana Lakini Amri ya Mungu ni BLACK & WHITE haina kupindapinda.... RIBA ina harufu zake na misimamo yake... Na mungu ni Msafi (PURE) hapokei ila SAFI.
Hiyo fedha za riba ndiyo ufuturishe walofunga? hapo kuna masuali na tafakari zahitajika. " tafdhali siyo uhasama ni LEARNIG only.
mfungo mwema na ukubaliwe kwa wote.amin

ina maana huelewi au una lazimisha tu kuwa watu wamelishwa Futari ya RIBA ?
kumbuka hao wote ni wateja wa NBC upande wa Islamic Banking, na wao hawakuwaomba NBC iwatengenezee Futari ya RIBA (kama ilivyoiita !)
hivyo usilazimishe kusema kitu kilicho juu ya upeo wako na usichoweza kuthibitisha, kwani 'dhana' ni dhambi !
 
Nilishaihama NBC. Siwezi kuhifadhi pesa zangu pamoja na fedha za majini

........mwisho utaishia kuweka pesa zako kwenye chungu, maana kila Benki aidha imeanzisha hiyo 'product' au wako katika mipango ya kuanzisha.
KCB ipo, STANBIC ipo, AMANA BANK ni full option, PBZ BANK, na bank kubwa za kimagharibi na ASIA kama UK, US, INDIA, CHINA, JAPAN na SOIUTH AFRICA.
 
Islamic banks face unique accounting problems both from a technical point of view and philosophical point of view.

Allah is the author of all confusion.
To reduce the gap between the rich and the poor ,Islam encouarages trade ,dicourages the hoarding of wealth and outlaws Riba,therefore wealth is taxed Zakat but trade is not taxed .
Profit sharing and venture capital where the lender is also exposed to risk are acceptable
 
Utaumiza kichwa chako kwa mawazo,dini hii ina nyanja nyingi,utakimbia ngapi?Hata majina ya miji kadhaa ya Tanzania pamoja na jina la Tanzania,asili yake ni uislam,Dar es salaa,pia ni jina la kiislam,na mpaka lugha ya kiswahili ina maneno asilimia zaidi ya 25 ni ya kiislamu,nayo pia utayaiacha?Ukiongea au kuandika kiswahili,unatumia maneno ya kiislam,mpaka mitaa mingi ni ya majina ya kiislam,magari unayopanda yanatumia mafuta yanayotoka nchi za waislam.Anza kuacha kila kinachohusiana na uislamu,ndio tutajuwa kweli umeacha.Acha akili ya shule za kata.

uislam lugha?
 
Sasa wandugu, hiyo futari imegharamiwa na NBC, ningependa kujua uhalali wa kulishwa futari kwa fedha za "RIBA"....
mmh hapo siyo kukurupuka tu, kuna masuali 1000 moja (kwa waliyosoma wawaelimishe wenzao).

hiki ni kichekesho unakataa kunywa bia unapokea mshahara unaotokana na kodi ya bia, hii dini ni noma
 
Uislamu ukiuchukia utapata Tabu,kwasababu kila siku unakwenda na wakati.Utaumiza kichwa chako bure.Hii dini haikuanza juzi,jana wala leo,wapo walioipiga vita na kuichukia,lakini wakajikuta wanapoteza wakati wao bure.Kila sekunde na dakika,ukweli wake unajitokeza wenyewe.

ulianza lin?amna jipya apo
 
To reduce the gap between the rich and the poor ,Islam encouarages trade ,dicourages the hoarding of wealth and outlaws Riba,therefore wealth is taxed Zakat but trade is not taxed .
Profit sharing and venture capital where the lender is also exposed to risk are acceptable

Most of the Islamic Banks operate on Bai- Murabaha, Bai Muazzal, Bai- Salam, Istisna, Hire Purchase/ Leasing mode of Investment i.e. Islamic Banks always prefer to run on markup/ guaranteed profit basis having Shariah coverage. For this reason some times the conventional Economists and General people failed to understand the real difference between Islamic Banking and conventional Banking.
 
The risks associated with profit sharing seem to be so high that most banks have resorted to such financing techniques to bring them to a fixed guaranteed return. As a result, there is very real criticism that these banks have no interest to the other side, but had actually changed the nomenclature of their transactions. Big issue is, for Islamic Banking system is to be provide interest free products to their customers. Because, in Islam, Riba (interest) is defined as any effortless profit gained on a loan or debt. It is also defined as any increase without a specific cause. Both effortless profit and increase on the loan amount to injustice and are prohibited in Islam. This prohibition is a major issue of concern for many Muslims, especially those living in Non-Muslim countries. To provide an interest free mortgage to Muslims is also a debateable topic now days.
 
Uislamu ukiuchukia utapata Tabu,kwasababu kila siku unakwenda na wakati.Utaumiza kichwa chako bure.Hii dini haikuanza juzi,jana wala leo,wapo walioipiga vita na kuichukia,lakini wakajikuta wanapoteza wakati wao bure.Kila sekunde na dakika,ukweli wake unajitokeza wenyewe.
Ukweli wake ndio nini hasa?

Katika Ukristu tunasema hivi: Proverbs 27:5 states "Open rebuke is better than secret love"
It means if you care about someone, than you will care enough to stop them from driving off the road into sin to the destruction of his own soul. If you stand by with your heart full of love and do nothing, it is not really love.

It is also in alignment with Proverbs 28:23 He who rebukes a man will in the end gain more favor than he who has a flattering tongue..
 
Islamic banks face unique accounting problems both from a technical point of view and philosophical point of view.

Allah is the author of all confusion.

pole sana.. uislam unavo kuumiza kichwa.. una kale ka blog, haitoshi una ids zaidi ya kumi jf ku copy na ku paste zile propaganda zako toka kwenye kale ka ka blog chako, mbaya zaidi thread zako unaziweka active kwa kujijibu mwenyewe na ids zako nyingine pindi tu unapoona watu wana ku ignore..

must be very pain living next to guy like u.. ur unhealthy obbesion kwa uislam ina kwenda out of control..

you are definitely loosing it maxshimba.. .. check ur self to a rehab facility we jf members can feel ur pain.."
 
Ukweli wake ndio nini hasa?

Katika Ukristu tunasema hivi: Proverbs 27:5 states "Open rebuke is better than secret love"
It means if you care about someone, than you will care enough to stop them from driving off the road into sin to the destruction of his own soul. If you stand by with your heart full of love and do nothing, it is not really love.

It is also in alignment with Proverbs 28:23 He who rebukes a man will in the end gain more favor than he who has a flattering tongue..

Naskia ulitapeli je ni kweli?
 
ulianza lin?amna jipya apo
Huko kuwaza hakuna jipya,ni mapya yenyewe,acha kuumiza kichwa,hii dini ni ya kisomi,ndio mana Banki hizi ziko mpalka nchi za magharibi,na zinakubalika,ww peke yako ukipinga utapata Tabu,ziko Uingereza,Maarekani, Ufaransa nk
 
Most of the Islamic Banks operate on Bai- Murabaha, Bai Muazzal, Bai- Salam, Istisna, Hire Purchase/ Leasing mode of Investment i.e. Islamic Banks always prefer to run on markup/ guaranteed profit basis having Shariah coverage. For this reason some times the conventional Economists and General people failed to understand the real difference between Islamic Banking and conventional Banking.
kutoelewa kwa watu fulani,jambo fulani si sababu ya jambo hilo lisiwepo,wanafunzi wengi hawaelewi hisabati na masomo Ya science,ndio tuseme science na hisabati hazieleweki?Au ni ufahamu mdogo wa wanafunzi,acha kuumiza kichwa,mda si mrefu benki nyingi duniani zimeanza kufuata mfumo wa islamic banking na ziko zitakanzo anza mda si mrefu.
 
Ukweli wake ndio nini hasa?

Katika Ukristu tunasema hivi: Proverbs 27:5 states "Open rebuke is better than secret love"
It means if you care about someone, than you will care enough to stop them from driving off the road into sin to the destruction of his own soul. If you stand by with your heart full of love and do nothing, it is not really love.

It is also in alignment with Proverbs 28:23 He who rebukes a man will in the end gain more favor than he who has a flattering tongue..
Usiumize kichwa,mambo mengi ya kiislam unayatumia kila siku,ukiangalia hisabati,kemia,physics,nk,mna maneno mengi yenye asli na wana sayansi wengi wa kiislamu wametoa mchango mkubwa mpaka kwenye elimu ya Tiba.Usome uislamu uulewe.Acha kuumiza kichwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom