The truth always terrorize the liers 🙂ISLAM = TERRORISM
Sura inaonyesha lijamaa likatili.Abdullah Qardash![emoji41] View attachment 1246892
Mbona waasi waliopindua serikali ya Yemen wanafadhiliwa na Iran?! Au Iran nayo ni nchi ya magharibiSawa, je ni nanialiyekuwa anawasupport hao walioanzisha vuguvugu la kutaka kuzipindua/kuziondosha madarakani serikali zao kama sio mikono ya nchi za magharibi?
Chambua mwenyewe utapata majibu. all in all majibu unayo. ninachokushauri mkuu ni kuendelea tuu na mambo yako (mind your own business) la sivyo utapata stress kwa namba ambavyo dunia haiko fair!Sawa, je ni nanialiyekuwa anawasupport hao walioanzisha vuguvugu la kutaka kuzipindua/kuziondosha madarakani serikali zao kama sio mikono ya nchi za magharibi?
Hao ni wenyewe kwa wenyewe mashariki ya katiMbona waasi waliopindua serikali ya Yemen wanafadhiliwa na Iran?! Au Iran nayo ni nchi ya magharibi
Kwa maana hiyo unamaanisha Osama bado hajafa?May 2, 2011 Obama alitangaza wamemuua Osama,mwaka 2012 uchaguzi ambao Obama alishinda.Juzi tu Trump kasema wamemuu kiongozi wa IS ,mwakani uchaguzi unafanyika.
Ukiangalia haya matukio kama kiki au kampeni ya Trump ktk kutafuta kura kwa wamarekani.Mimi naona maigizo tu ya wanasiasa wa US.
Dunia haiko fair lakini pia kuna baadhi ya nchi duniani wapo kwa ajili ya kuchochea wakiona ndugu wanataka kupigana, mziki ukigeuka kwao ndio wanawaona ni wabaya wakati walikuwa wakiwapamba ili wapigane!Chambua mwenyewe utapata majibu. all in all majibu unayo. ninachokushauri mkuu ni kuendelea tuu na mambo yako (mind your own business) la sivyo utapata stress kwa namba ambavyo dunia haiko fair!
swali la kitoto sana ilo.Naomba kuuliza hapa:
1. Kwani ISIS alipata wapi silaha anazotumia sahv katika kufanya mipango yake?
2. Je Marekani alipotaka kuipindua serikali ya Assad aliwatumia kundi gani ambalo alilisupport kwa silaha na zana za kivita?
3. Je Saddam Hussein ni kundi gani ambalo lilipata support ya Marekani katika kumuondoa madarakani?
Kiimani Osama kafa ,lakini hamna ushahidi wa kisayansi (tangible evidence) ,yakutuonyesha Osama kafa.Kwa maana hiyo unamaanisha Osama bado hajafa?
Angalia kwanza nchi yetu imezungukwa na nchi gani ndipo uongee utumbo wako, hakuna swali la kitoto duniani. Usidharau swali dogo ambalo mwisho wa siku linakuwa swali kubwa.swali la kitoto sana ilo.
dunia ya sasa unauliza watu wanapata wapi silaha?.
unashangaa waasi wa uarabuni kupata silaha, ila ushangai wale waliotaka kuweka kambi kibiti kuwa na silaha za kivita!!.