ISIS using weapons made in Israel

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,806
34,193
Questions about who is behind the Islamic Statekeep arising.

Iraqi volunteer forces, known as Hashid Shaabi, discovered Israeli-made weapons at Islamic State (ISIL) positions in the Iraqi province of Anbar on Thursday, according to Al-Mayadeen television, Fars News Agency reported.

Last month, it was reported that Iraqi counter-terrorism forces arrested four foreign military advisors from the United States and Israel, who were allegedly aiding ISIL.

Furthermore, in February, Wahhab al-Tayee, a senior Iraqi legislator, said the Israeli military was training ISIL in the Sinai Peninsula for terrorist operations in Egypt.

Israeli-weapons-ISIS.jpg

Israeli made guns seized from an ISIS base in Iraq

Iran’s senior advisor to the Supreme Leader, Ali Akbar Velayati, said that ISIL was created by the West and Israel to follow their interests in the Middle East:

“ISIL has actually been created by the western colonial powers and the Zionists, because whatever this terrorist group does runs counter to Islam and the rules of all Islamic sects.”

US historian Webster Tarpley also shared the similar idea, stating that the United States created ISIL to use the jihadists as its secret army to destabilize the Middle East.

This line of thinking might be a little too provocative and extreme, but a thought has to be raised nonetheless. If the United States was behind the creation of al-Qaeda after the US involvement in Afghanistan in the 1980s, some argue that there might be a link between the White House and ISIL jihadists, terrorizing a large part of the Middle East.

Israeli-rockets-ISIS.jpg

Israeli made rockets used by ISIS

SOURCE.ISIS using weapons made in Israel - Hang The Bankers
 
Wengi hawajaelewa IS ni nani?nani mfadhili wake mkuu?ajenda yao na wako kwa maslahi yapi?
IS sio kundi lililoanzishwa na waislam km inavyodhaniwa na wengi ingawa wapiganaji wake asilimia kubwa ni waislam!sasa hawa wapiganaji wa IS wako brain washed labda kutokana na maisha duni walionayo pamoja na mazingira waliokulia au kuishi kuwafanya kujawa na chuki na serikali yao au mvamizi.
technically mtu aliye frustrated au miserable ktk maisha yaliyojaa chuki na ukatili hutumii nguvu kubwa kumshawishi apigane na kitu asichokielewa ilimradi tu!
Jiulize je IS kwann hawaipigi israel na iko hapo karibu tu?
hawa IS walishanunua nuclear warhead kutoka india na pakistan kwann wasimjaribu israel na ndo adui mkubwa wa islam?!
Israel ilishadai eneo lote la middle east ni lao je watalirudisha vipi eneo hilo bila kuleta mtafaruku kwa israel?ndo hvyo wakaunda IS
 
fafanua jinc israel walivyounda IS
 
fafanua jinc israel walivyounda IS
Ok swali zuri sana.
unamfahamu kiongozi mkuu wa IS?
Alikuwa wapi hapo mwanzo?alikuwa ni mwanaharakati wa kiisraeli akiishi iran na alikuwa katika jeshi la israel pia ukumbuke waisrael wako na dini nyingi ikiwemo waislam wa israel,huyu jamaa hakuwa myahudi ila shiaa islam.ila alisaidiwa silaha na zana zote za kivita kutoka amerika na israel cha kujiuliza IS silaha nzito wanatoa wapi hadi kuweza kuangusha majeshi makubwa ya serikali?tanks na makombora ya hatari.propaganda za media zinaonyesha kwamba IS is most wanted na lazima liangamizwe ila ni tofauti nyuma ya pazia yaani visa vesa.
 
Kama bhagdad alikua ni shia muslim inawezekanaje kuongoza radical sunni muslim group km IS?ingawa israel wamekua ni wazoefu wa covert operation but kucreate na kufinance group kama Islamic state kwa israel peke yake ni jambo gum sana....ingawa hamna kinachoshndkn chin ya jua
 
Wengi hawajaelewa IS ni nani?nani mfadhili wake mkuu?ajenda yao na wako kwa maslahi yapi?
IS sio kundi lililoanzishwa na waislam km inavyodhaniwa na wengi ingawa wapiganaji wake asilimia kubwa ni waislam!sasa hawa wapiganaji wa IS wako brain washed labda kutokana na maisha duni walionayo pamoja na mazingira waliokulia au kuishi kuwafanya kujawa na chuki na serikali yao au mvamizi.
technically mtu aliye frustrated au miserable ktk maisha yaliyojaa chuki na ukatili hutumii nguvu kubwa kumshawishi apigane na kitu asichokielewa ilimradi tu!
Jiulize je IS kwann hawaipigi israel na iko hapo karibu tu?
hawa IS walishanunua nuclear warhead kutoka india na pakistan kwann wasimjaribu israel na ndo adui mkubwa wa islam?!
Israel ilishadai eneo lote la middle east ni lao je watalirudisha vipi eneo hilo bila kuleta mtafaruku kwa israel?ndo hvyo wakaunda IS

Nipe source inayo onesha isis walinunua nuclear warheads kutoka india na Pakistan. Ebu tuache conspiracy theories. Isreal pale middle east ndo jeshi linaloogopeka zaidi. Isis wanajua tukiichokoza isreal ndo utakua mwisho wetu. Jiulize kwanini al Qaeda na Taliban hawaishambulii isreal? Au nayo ni makundi ya isreal? isreal wana uzoefu sana wa kupigana na hivi vikundi vya kiislam sio sawa na Russia au usa. Isreal imeshipiga sana vikundi vya namna hii (Hezbollah, hamas) ndo mana hawaguswi
 
Wengi walishaleta ushahidi humu kuwa ISIS ni zao la wamarekani na waisrael watu wakapinga sana! Na hata Elimu ya ki salafi na Wahhabi ni maelekezo ya wamarekani sema vijana wengi wanafuata mkumbo tu bila kujua ule ni mradi wa uhalifu kupata mali kwa kisingizio cha Dini.
 
Wengi hawajaelewa IS ni nani?nani mfadhili wake mkuu?ajenda yao na wako kwa maslahi yapi?
IS sio kundi lililoanzishwa na waislam km inavyodhaniwa na wengi ingawa wapiganaji wake asilimia kubwa ni waislam!sasa hawa wapiganaji wa IS wako brain washed labda kutokana na maisha duni walionayo pamoja na mazingira waliokulia au kuishi kuwafanya kujawa na chuki na serikali yao au mvamizi.
technically mtu aliye frustrated au miserable ktk maisha yaliyojaa chuki na ukatili hutumii nguvu kubwa kumshawishi apigane na kitu asichokielewa ilimradi tu!
Jiulize je IS kwann hawaipigi israel na iko hapo karibu tu?
hawa IS walishanunua nuclear warhead kutoka india na pakistan kwann wasimjaribu israel na ndo adui mkubwa wa islam?!
Israel ilishadai eneo lote la middle east ni lao je watalirudisha vipi eneo hilo bila kuleta mtafaruku kwa israel?ndo hvyo wakaunda IS
Mkuu acha uongo.

Nuclear warhead sio sukari uifiche au sio sarafu ya shilingi uifiche.

Sio kitu unaweza kununua kama karanga na ukaficha mfukoni. Mathlani hata kama walinunua (tudhani kua walinunua) hilo sio bomu la kurusha kwa mkono lazima kue na miondombinu ya kuifikisha unapotaka.

Nuclear warhead inawekwa kwenye kombora la masafa ili iweze kufika unapotaka ifike, hilo sio bomu la kurusha kwa mkono.

Hayo manunuzi yalifanyika lini na wapi? Hizo warheads zilipitishwa wapi hadi kufika alepo au raqa kwa isis? Zinauzwa kiasi gani hizo warheads?

Mkuu acha uongo uliotukuka.
 
Kila mtu anajua IS ni ya marekani na Israel...Mrusi aliwaonyesha cha mtema kuni kwa wiki mbili tu mpaka mmarekani akaanza kulialia..
 
Nipe source inayo onesha isis walinunua nuclear warheads kutoka india na Pakistan. Ebu tuache conspiracy theories. Isreal pale middle east ndo jeshi linaloogopeka zaidi. Isis wanajua tukiichokoza isreal ndo utakua mwisho wetu. Jiulize kwanini al Qaeda na Taliban hawaishambulii isreal? Au nayo ni makundi ya isreal? isreal wana uzoefu sana wa kupigana na hivi vikundi vya kiislam sio sawa na Russia au usa. Isreal imeshipiga sana vikundi vya namna hii (Hezbollah, hamas) ndo mana hawaguswi
Israeli and Romanian ammunition captured from ISIS | Veterans Today

Israeli Intelligence chief : We do not want isis defeat in Syria | Veterans Today

US forces captured head of Isis chemical weapons program in Iraq last month

Israeli defense minister says ISIS funded with Turkish money

Israeli Army Colonel Captured in Iraq along ISIS Militants

Real War News, Israeli Commando’s Fight Alongside ISIS in Syria

Aussie Jews Attack Abbot for Saying Israeli Backed ISIS Worse than Hitler
 
Back
Top Bottom