The fugitive has been sighted in Belgian capital wondering on foot.
The terror alert has been raised to level four the highest and the snipers has taken position should Abdeslam resurface.
Update:
On Wednesday afternoon, anti terror police in Belgium had made 9 arrests of people who have links with Abdeslam and his brother who blew himself in the attacks last Friday.The raid were conducted in towns of Molenbeek where the ring leader Abaaoud lived, Uccle and Laeken.
Gaidi huyu kauawa tayari, mati yake imeokotwa ikiwa na majeraha kibao ya risasi,,alijeruhiwa akajaribu kutoroka na majeraha yake baadae akafa.
Mimi hapo ndio huwa sielewagi hivi mpaka muonekano mpya umejulikana halafu hajataitiwa bado inakuwaje? Yaani nani amepublish huo muonekano mpya? Msaada tafadhali
Aliingiaje huko brussels,,huu ni uongo
Mnasikiliza story za vyombo vya habari vya magharibi hamtopata ukweli hata kidogo. Terrorist wa kwanza kabisa ni USA and their companions
You must be sick in the head.Mnasikiliza story za vyombo vya habari vya magharibi hamtopata ukweli hata kidogo. Terrorist wa kwanza kabisa ni USA and their companions
Asad anapigana na waasi, asad anasaidiwa na URUSI waasi wanasiaidiwa na Marekani sasa Je, ISIS wao wanapigana na nani? ni nani anawapa Silaha na training maana mpk sasa hakuna taifa kubwa lenye majasusi wa kimataifa waliyosema ukweli kuhusu haya. Huu ni.mchezo mchafu wa fitna kama kwa gadafi
Huwa najiuliza hivi hawa Isis ni nani ? Kulikuwa na alqaeeda..yenyewe imepotea hawapo sasa kumekuja isis...lakini isis are they for real?
Ukiangalia isis ni sawa na germany under hitler....alipigana na Duni nzima na hawa nao pi
Russia
UsA
UK
Spain
France
Canada
Italy
Iran nao wapo
UAe wapo
Jordan nao wamo
Eygpt
Hivi hawa wadudu isis wapo kweli maana nvhi hizi ndio zenye majeshi makubwa na silaha nzito duniani. Wana kila aina ya intelligence na kila aina ya ukachero . Vipi hawa wanashindwa kummaliza wadudu hawa?
Nikifikiria hili naona kama kuna ngoma nyengine inapigwa na wengine tunafata mkumbo tu...wenyewe wanajua nini wanakitafuta