Hili kundi kwa hivi sasa linapigwa na MAREKANI, UINGEREZA, UFARANSA, URUSI, na SAUDI ARABIA.
UJERUMANI, AUSTRALIA na JORDAN zitajiunga na mashambulizi muda wowote kuanzia sasa.
Hoja yangu;
Ni wapi kikundi hiki kimepata nguvu hizi na kutishia dola kubwa za Dunia kiasi hiki?! Nani anawafadhili hawa jamaa?