God bless Israel
Nenda katazame series inayoitwa 24 utaelewa haya mambo
Tazama ile season ya 2,utajifunza jambo,ila kwa kujifunza zaidi tazama season zote!
Dah! We Mmatumbi Israeli inakuhusu nini wewe! Achakujipakatisha.God bless Israel
Maandiko yameanza kutimia, Armageddon ipo karibu. Haya yanaanzia kule lakini ni muda usio mrefu tutageukiana sote, aliye na uwoga na arudi kwa tumbo la mama yake, muda ndio huu na umeanza kufika.
Fighting terrorism and terrorists is not terrorismHao nao ni Magaidi tu, inabidi nao waanze kuandamwa.
Huu ni unyama uliopitiliza