Km hii hbr ni kweli,basi hakuna watu mampompompo duniani km waarabu,
Nasema hivo sababu Isis ni waarabu,waouawa ni waarabu,sasa inakuaje machafuko haya yalojaa udini iwe ni kwa kutumiwa,afu hawa wanaokubali kutumiwa faida yao ni ipi,awali nlikuwa najua ss waafrika ndo waninga kwa kukubali kutumiwa kumbe wapo WAJINGEST zaidi yetu,na hata pia ni aibu kwa uislamu