ISIS fighters 'have contracted Ebola'

Status
Not open for further replies.

Du!ni shda kwelkwel
 
Kufikiri huwa ni zao la shule ndg ambayo wenzetu wanaipinga sana.. Usipoteze mda kuwaonyesha facts mkuu watakuita mgalatia sasa ivi.. ngoja dada yao na yule mdini mwingine waje hapa uone...
 
Biological weapon at work!!
 
Kama wamewapelekea bado hawajawakomoa kwa sababu hawa jamaa wanapigna ili wafe...kwanza kabla hajafa atahakikisha kuwa ameshambukiza watu wengi sana....
Watakuwa wamewapunguzia mzigo wa kubeba mabomu ya kujitoa mhanga.....

Kama wanapigana ili wafe mbona siku hizi wanatumia public transport na kuondoa bendera zao kwenye magari na nyumba zao wakihofia kuuawa kwa ndege za kivita za washirika na Marekani?
 
Kama wanapigana ili wafe mbona siku hizi wanatumia public transport na kuondoa bendera zao kwenye magari na nyumba zao wakihofia kuuawa kwa ndege za kivita za washirika na Marekani?

Dhumuni ni kufa na adui na sio kufa pekee ni hasara kwa mujaheedin...ndio maana wanajitoa mhanga...ili wafe na maadui wengi..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…