ISIS ATTACK IN FRANCE LEAVES 80 DEAD On a NATIONAL HOLIDAY

Nchi za ulaya kupitia NATO zilijua zitakuwa salama kwa yale waiyokuwa wakiyafanya katika mataifa ya kiarabu na kuyaita majina mabaya....
 
Wanadamu tumeshashindwa kuishi kwa amani,waweza kuwa ufaransa kibiashara ama kikazi na huo ugaidi ukakukumba na ukafa bila kosa na waweza kuwa syria kikazi makombora ya Nato yakakukumba na ukafa vilevile bila hatia
 
And some TZs in their right minds would rejoice whenever such things happen in Kenya. They wish for more and larger attacks to occur here.
If this had happened here, JF kenyan section would have been abuzz with so many senseless comments frm them.
Very unfortunate indeed.
This reinforces that fact that terrorism has no borders. Nobody is immune. Only a fool will rejoice at this.
 
oooh my the tanzanian comments in here ---mtashangaa tu zikianza kwenu!!!....sijui mtaanza propaganda et mtutoe majeshi yenu DRC karibu na mamasjid au nini
 
Hebu ongezeapo nyama kwenye hili andiko lako.....
Mkuu siasa za kidunia kuzichambua tutakesha ila ukifahamu misingi hii mitatu hautapata shida na siasa za kidunia.
.Capitalism idealogy
.Islamic idealogy
.Communism idealogy.

hapa ndo utapata nini maana Colonial interest.
 
Dah kwel upo sahihi maana ukiangalia kwa umakin unagundua hicho yanayotokea ulaya sasa hiv ni matokeo ya islam ideologoy wenye hasira dhid ya matokeo ya capitalism yanayoendelea masharik ya kat
Na kile kinachoendelea Syria na mataifa mengine ni capitalism
Ukija kwa mkorea kaskaskan na hata ubabe wa china siku za karibun kwenye mgogoro wa visiwan kule kwao ni matokeo ya communism+economic interest na ndiyo mfumo huo huo russia anajaribu kurudisha utemi wake wa zaman kwa kupitia vladimin putin

Kuna vita kali sana kat ya modern socialism VS capitalism

Tutaona mengi aisee
 
Wapiganapo mafahari wawili (super powers) ziumiazo ni nyika ( mataifa machanga)
 
Mkuu siasa za kidunia kuzichambua tutakesha ila ukifahamu misingi hii mitatu hautapata shida na siasa za kidunia.
.Capitalism idealogy
.Islamic idealogy
.Communism idealogy.

hapa ndo utapata nini maana Colonial interest.
Asante kwa kunifungua macho.....sasa nawezaje kupata kuyafahamu yote haya...!!!??
 
And some TZs in their right minds would rejoice whenever such things happen in Kenya. They wish for more and larger attacks to occur here.
If this had happened here, JF kenyan section would have been abuzz with so many senseless comments frm them.
I fail to understand as to why the French authorities never mentioned the quantity of explosives/bombs found in the truck which fortunately never exploded. By keeping quiet without elaboration those thugs(ISIS =DAESH) will plan for a more dangerous assuming that the government did not discover their hidden explosives.
 
Back
Top Bottom