PostGE2025 Isihaka Mchinjita: Watu kufikiri jeshi kuchukua nchi ni kugota kifikra

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita, jana Januari 15, 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kukutana na Viongozi pamoja na Wajumbe wa jimbo la Tanga Mjini.

Katika mkutano huo, alizungumzia matukio yanayohusiana na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, na kusikiliza mawazo ya Viongozi hao kuhusu changamoto na masuala mbalimbali ya jimbo.

Mouuzi ti huyu! Kwani yalikotokea walikuwa wamegota
 
Back
Top Bottom