Ahaa nimekumbuka sasa why all this kuna siku CAG alizungumzia kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii kufa coz ya madeni yanayoidai serekani na serekali haijalipa so wameona ujanja ni kuzuia mafao ya wananchi mpaka miaka 55 au 60 duh,hapa tunahitaji ufumbuzi lasivyo inakula kwetu sie masikini
Huyu Harold Sungusia anastahili kuwa Jaji wa nchi hii kwani jamaa ni kichwa na hana makuu katika hili nadhani kwenda mahakamani itatuchelewe kuandamana tutaingilia uhuru wa mahakama sisi tuingie barabarani tu yanini nifanye kazi wakati baada ya mwaka sina ajira nikae kapa mpaka miaka sitini ndo nipewe changu hapa ni vita tu
Tuna vyama vya wafanyakazi TUICO, CHODAWU etc...... mimi naona wapo kimya kwa hili...yaani haiwezekani. wafute sheria hizi za kijinga.. za kiukandamizi na uonevu. its against human rights... nipewe hela yangu mapema kabla sijafa.. umenifukuza kazi nina miaka 29 nitajikimu vipi, kiinua mgongo chenyewe hakitoshi... yaani unakula siku moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.