Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Mpiga era lugha yako ya picha... Fafanua kidogo....[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160]
Ninaamini Nina akili lakini hapo nilichemka mpaka nikapigaToka nakua nasikia bible imeainisha kuishi na wanawake kwa akili.... Lakini kila kukicha vilio kwa wanaume.
Ni vp jinsi ya kuishi nao kwa akili. Na mbona wanaume wengi wanachemka hapa....
Wajuzi wa mambo karibuni tujuzane kusaidiana kwa hili... Vilio vimezidi.
kwani mkuu kuishi nao kwa akili si hata kupiga,ni moja ya nyenzo za kuishi nao kwa akili?Ninaamini Nina akili lakini hapo nilichemka mpaka nikapiga
Kwa hiyo tumefeli kwa hili mkuu. Tukubali hatuwawezi......Theory kuileta katika practical sio kazi ndogo shekhe.....
Ha ha haaa mkuu huwa mwisho tunaona kuchapa ndo akili yenyewe....Ninaamini Nina akili lakini hapo nilichemka mpaka nikapiga
Mkuu kupiga sio akili, AKILI NI KUTAMBUA KUWA HAWA NI WANAWAKE TU. wala huwezi piga tenaHa ha haaa mkuu huwa mwisho tunaona kuchapa ndo akili yenyewe....
Nyie ni viumbe hatari sana.... Huwa siwamalizi nikiwatizama.. Mpaka sasa tumeamua kumuachia Mungu na kamsemo ketu "MUNGU ANAWAONA"Waliyoyapitia Adam wa Eva na Samson wa dalila iwe fundisho kwenu....
Hatujaribiwi!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] wewe dada ni shida.Waliyoyapitia Adam wa Eva na Samson wa dalila iwe fundisho kwenu....
Hatujaribiwi!!!
Wanawake wanatokana na ubavu wa mwanaume, hakuna ubavu hata mmoja ulonyooka hivyo wote wamepinda akili soma mhubiri 7:28 utapata majibuNyie ni viumbe hatari sana.... Huwa siwamalizi nikiwatizama.. Mpaka sasa tumeamua kumuachia Mungu na kamsemo ketu "MUNGU ANAWAONA"