Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,120
- 62,107
Pole ya nini mkuu, tatua kero za watuPole ndugu
Ndivyo ilivyo
Nyumba ya mchungaji,mnachangishwa kanisani
Nyumba ya muumini,mnaombewa kwa Mungu
Kuna wale wanaotaka kutatuliwa matatizo yao tu ukimweleza la kwako kila siku anaitwa SINAUnayemweleza tatizo lako naye ana matatizo makubwa na anaishi nayo. Expect nothing from nobody or anybody
Mungu atakusaidia mkuuBinadamu wanachangamoto kweli, unamweleza shida zako ukifikiri atakusaidia ata kwa mchango kidogo; matokeo yake wanakushauri Mungu atakusaidia. Sasa mtu ana njaa, hitaji lake kwa sasa ni chakula; sasa hapo Mungu atamsaidiaje, badala ya wewe kumuwezesha kula? Urafiki ni kutatua kero iliyopo, na si kuhamisha majukumu kwa muumba. Hii kuhamisha majukumu ni dalili ya uchoyo.
😂😂😂😂 unatoa ushauri mzuri, ila mambo ya salio hapana..Sema kimeumanaaaa..
Tatizo muumba wetu tunampa majukumu mengiPolee ndugu mungu anakusikia na atakusaidia.kilaa mtu anashidaaa zake usione zako ndo kubwaa
Inabidi tubadilikeNdivyo ilivyo
Nyumba ya mchungaji,mnachangishwa kanisani
Nyumba ya muumini,mnaombewa kwa Mungu
Mfano uko hospitalini unatakiwa ufanyiwe oparesheni ya jicho na kuna kiasi fulani cha fedha kinahitajika, unaeleza tatizo lako usaidiwe; matokeo yake wanakuambia Mungu atakusaidia utapona. Sasa ataponaje bila kupata matibabu?Duh! Kwa hiyo wewe kuombewa usaidiwe na Mungu unaona kero?
Uko sahihi, ila ni wachache sana wanaweza kusimama kwenye hii 'rule'Rule: Never expose your problems!
Ni kweli, Je maazimio yawe ni nini?Unayemweleza tatizo lako naye ana matatizo makubwa na anaishi nayo. Expect nothing from nobody or anybody
🤣🤣🤣kuna wale wanaotaka kutatuliwa matatizo yao tu ukimweleza la kwako kila siku anaitwa SINA
siku hizi watu husaidia wanaowasaidia pia,,,We have decided that na maisha yanaenda
hahahahah
🤣🤣🤣 atakusaidia na wewe piaMungu atakusaidia mkuu