Ishi na mkeo kwa akili

Ishi na mkeo kwa akili

Makoja

Member
Joined
Mar 21, 2018
Posts
33
Reaction score
76
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'
Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA(Perpendicularly),vitu hivyo ni

1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING MAN 4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua "Kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila WAKO BUSY...Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES,Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni LONELINESS....
A lonely Woman can easily be trapped by anyone..hata Houseboy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako peke yako???Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago kitandani...Mpe CARE na ATTENTION
 
Toa perpendicular weka parallel

Kama unataka wako peke yako kata mgomba weka ndan, asigombaniwe mtaani
There is no theory postulate human behavior, sio mwanamke ata mwanamme, mke wake anaweza akawa mzur Shep en gud sex still atachepuka tu
 
Na kwa bahati mbaya hatuwezi kuvitimiza vyote hivyo,una weza kumpa hela,ukamgegeda vizuri na ukamjali ila mda ukakosa maana utakuwa bize kuzitafuta pesa.
Kwa maana hiyo acha tu tugegedewe ila wasituonyeshe.
 
NB:
This theory does not apply to Wives who once were House Maids (mabeki 3) hawa utawapa vyote na kuishi nao kwa akili sana lakini lazima watakupasua kichwa tu. Ndo maana waswahili wanasema beki 3 haolewi!!!
[HASHTAG]#Refer[/HASHTAG] Joyce Kiria case#
 
Ukikaa kutaka kuyatimiza yote hayo utakua Maskini mkuu !! Fanya yatakayowezekana !!!
 
Hao hata uwape kila kitu kama akiamua kutokukuelewa akuelewi tu. Tulipewa kuishi na mashetani so akili iwe kubwa kimshinda
 
Back
Top Bottom