Pesa oh pesa! Pesa oh pesa! Kweli anampenda au anapenda pesa! Kwa mzee huyu anatafuta nini na vijana wenzake wapo? Pesa oh pesa mwanaharamu!
Achana na mambo ya Uvumilivu....Kula maisha
Vijana fanyeni kazi
Narudia tena vijana fanyeni kazi.
Acha vivu mwezako anakula uzeeHuyu babu si apumzike tu. Au anataka kufia kifuani
Kifuani hafi, ila mh mjukuu wake huyo bintiHuyu babu si apumzike tu. Au anataka kufia kifuani
Zoote hizoo wivuu tuu ulitamani uweweHuyo Jackline mwenyewe kachokaaaaaa. Sura imekomaa kama amemeza kokoto
wivu utakuuwa!..Huyo Jackline mwenyewe kachokaaaaaa. Sura imekomaa kama amemeza kokoto
Babu ulishawahi kumkokea moto aote?!Huyu babu si apumzike tu. Au anataka kufia kifuani
Hahahaha hiyo wame sapatu yupi kachokaaaHuyo Jackline mwenyewe kachokaaaaaa. Sura imekomaa kama amemeza kokoto