Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,291
- 30,906
kama yule fundi gereje aliefanikiwa kumpiga muhindi zaidi ya milioni 100 kwa elfu1 mapema mwishoni mwa mwaka jana, unadhani marafiki wa huyu ndugu na vijana wegine waloshuhudia kufanikiwa kwa jamaa huyu utawashauri kitu kuhusu kuacha kubeti šHivi kuna mafanikio kwenye kubeti kumbe?

nimekuelewa baba sina dramma katika maisha