Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,735
- 4,933
WAKATI MWINGINE JARIBU KUACHA KUWEKEZA KWENYE MALENGO BADALA YAKE WEKEZA KWENYE MCHAKATO.
"Sometimes we must stop being goal oriented and shift to process oriented"
........................................................................................................................ ..
Kuendelea kujiwekea malengo na kujisahaulisha kuwekeza kwenye mchakato ni kujilisha upepo. Kumbuka tunaishi leo, jiulize leo unafanya nini hata kutamani kesho?. Malengo ni kesho na kwa hakika ni matokeo ya unachofanya leo ...."Unafanya nini leo?."
Kuna mambo ya ajabu sana katika ulimwengu huu, embu tafakari juu ya hili. Lengo la mwisho la maisha yetu ni kifo, je tunapokimbilia malengo tunakimbilia wapi?.Mchakto ndiyo maisha yako ya leo haswa na ndiyo unaweza kusukuma matokeo "consequences".
Haiwezekani kuishi Duniani kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa ni mchakato unaotangulia kuishi. Lengo kinapaswa kutokana na mchakato. Ishi leo kwanza kabla ya kesho. Tatizo letu tunatamani sana kuishi kesho kabla ya kuishi leo.
...........................................................................................................................