Ishi kwa kujipanga usitegemee mtu

Ishi kwa kujipanga usitegemee mtu

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,880
Haya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.

Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund

Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
 
Safi kiongozi, tupe tips za kubuild emergency fund
 
Kuna baadhi ya Watu

Hasa baadhi ya ndugu na wanawake walio kwny mahusiano

Wanaamini wao kusaidiwa Ni lazima

Kwasababu wanaamini ni wajibu wako kugharamia dharula na matatizo yao binafs nje ya undugu au mahusiano
 
Safi kiongozi, tupe tips za kubuild emergency fund
Simple tu.
Unatakiwa kuwa na vitu muhimu at least unaweza kuishi kwa amani kidogo na tafadhali

So vinavyotuathiri ni maradhi, ajali na madeni
1.maradhi_ make sure una Bima.
Ajali_ Bima pia
Madeni lipa kwa kipaumbele wape taarifa wanaokudai, usiwakimbie

Pia Linda sana afya Yako.
About how to create your own emergency Fund ni kupitia kanuni pendwa ya 50% 30% 20% hii 20 kuwe Kuna saving na emergency Fund.
Let's say your total day income ni 10000
5000 Kodi, nauli chakula mawasiliano nk
3000 ni investment..usiweke ila wekeza zalisha hata jero and last one 2000 ndio kutoa kwa ndugu Mungu na emergency Fund
 
Hiyo ni kweli kabisa mkuu tena nyakati hizi watu wanaishi kinafik tu.. Wengine husema et sijui 'ishi na watu vizuri ukifa hujui atakae kuzika' hapo unabaki unashangaa kwan hiyo siku ya mazishi ntakuwa nashuhudia!
 
Haya mambo sijui kuishi vizuri na watu sijui connection ni muhimu sana, ila usizingatie sana msaada kutoka kwa watu, ishi kwa kujipanga ili ikitokea umepata tatizo ujiokoe.

Binadamu sio watu wa kuwategemea
Tafuta Hela Kaa na emergency fund

Hakuna mtu aliewai kujisaliti, ila anasalitiwa.
Mambo sijui ishi na watu vizuri ni sawa ila usitegemee msaaada kutoka kwaooo
Yani npikua nakula ugali huku nawaza hivihivi..naingia huku nakita umeandika hayahaya..acha tu!
 
Back
Top Bottom