kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Shukrán mkuu kwa ushauriKama ni mtu wa kupiga punyeto acha. Kama ni mtu ambaye hufanyi mazoezi basi Anza kufanya mazoezi, fanya jogging, push ups...punguza kula mavyakula yenye mafuta...kula vyakula vinavyoongeza utiririkaji wa damu kwenye uume...pendelea matunda Kama ndizi mbivu,tikiti maji, au mbegu za maboga kutokana na kuwa na zinc nyingi.....
🙏🏻🙏🏻Punguza mawazo ukiwa kwenye uwanja wa vita
Au siyoItakuwa imesikia Chadema waanza kupokea ruzuku, nayo ikapata simanzi ya ghafla, ikaamua kulala kwanza.
Mara nyingi mpaka hazihesabiki.HUjawahi mtia?.
Kihalisi nyeto haina madhara yoyoteAlafu maswala ya Kusingizia Punyeto jamani yafikie mwisho.
Nyeto haina madhara, huyu kijana ana mawazo hela hana.
Mbona umeandika comment fupi hivi?Inaonekana unakamia sanaaa, alafu hapohapo unawaza labda anaweza kua ana ngoma .
Au unawaza baada ya kumla utampa nn maana Hauna Hela Mbwa weeewe,[emoji1787][emoji1787]
Exactly.Kihalisi nyeto haina madhara yoyote
Nyeto haiusihani na shoo mbovu hata kidogo
Huo ni upungufu wa nguvu za kiume. Tafuta tiba haraka sana!!!Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana.
Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point.
Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu uliyekuwa nae?
Huyu Ni mpenzi wangu kabisa. Lakini cha kushangaza mashine ilikuwa vizuri tu imejiandaa kwa majamboz ghafla ikapoteza muelekeo na kutulia Kama haikuwepo.. ikalala usingizi mnono kabisa.
Hii ni mara ya Pili inanitokea. Mara ya kwanza niliona Ni kawaida tu. Hii imenitia mashaka kidogo. Sasa Nawakaribisha nyinyi Kama Ndugu zangu Je, ishawahi kukutokea wewe Kama mwanaume? Au Kama mwanamke ishawahi kumtokea wa faragha wako.. ? Na Shida itakuwa Ni nini?
Msaada Tafadhali.