Binamu yangu, aliachwa na mimba ya miez miwili yan kwa mtindo huo,jamaa kashatambulisha mwingine ukweni, kalea kamaliza akaona kama mwanaume aliyenikuta fresh sina mtoto na hajanioa nan atanioa akapata mtu mwingine mwenye familia yake akazaa mwingine yupo analea wanae hana wazo hata la kuolewa, Yule wa mwanzo kakaa huko weee now anataka kumrudia. Hebu kuweni na misimamo basi