Ishakuwa kipengele tayari

Nina yafuatayo
1. Usichanganye lugha kama haujui vizuri namna ya kuchanganya maneno. Usitake kuonekana na kina Wyatt Matthewson humu, wao wanajua vizuri kuchanganya lugha na wasikosee au kukera.

2. Kwanini ukiachana na mpenzi wako ndani ya wiki wazazi wako wanajua? Kwanini wawe na uwezo wa kutowaona mko wote ndani ya wiki ya kuachana, kwani huwa unaringishia wapenzi wako kwa wazazi.

3. Hujasema kilichofanya muachane, nyege zako na shida zake zikafanya mrudiane. Kama unajikuta mjanja ishi nae nyege zikiisha akili ikirudi uwe mwanafilosofia na shida zake zikiisha awe mzigo.

4. Mjamzito hakikisha unamtunza usimpe stress na usimwambie ukilaza wako uliofanya. Utamkumbuka baadae.

Hapa umeshaamua uoe huyo mwanampotevu, lolote unalostahili likupate uko.
 
Mwanamke Hana dini, hata sisi wakristo hawapaswi kusimama madhabahuni, basi tu ukristo ni legelege sana na kivuruge sana kwenye uhalisia kuliko maandiko.

OA tu kiongozi.

Nikweli mi nimekuelewa sana mkuu ila sijajua Kwanini wahtaji nioe wote em some reason mkuu
 

Sawa mkuu shukrani
 
Hapo nimekuelewa nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
Yaani unataka umuache mtu na ana mimba yako bila sababu za msingi..

Mkuu mi simtelekezi lakin nitamuhudumia yeye na mtoto wangu maybe sikueleweka vizur
 
Mmh ngumu kumeza, ila hakuna ugumu mpya ukikutokea wewe ndo unaona jipya .Hilo ukichelewa kulisettle litakuja kuwa baya zaidi ukikaa nalo hapo Kila kitu kipo wazi ni uamuzi wako
 
Mtoto gani tena mkuu wakati mtu mzima na kama mtoto nitamuhudumia nini tatizo hapo
Mtoto atapata huduma ndio but huyo single mother unazani kuna mwanaume gani lofa atakayekubali kumu-oa na isitoshe baba wa mtoto bado upo hai si ni kheri hata ungekuwa mfu.
 
Kuna harufu ya chuki hapa, na chanzo ni wewe. Mwanaume gani wewe hujui kusimamia maamuzi yako mwenyewe?
 
Asa huyo mwenye ujauzito akaolewe na nani?

Oa mwenye ujauzito ukimuaacha unamuharibia future, direction, her respect and reputation
Anaongeza idadi ya single mother...alafu kucha kuwasema single mother.
 
Mbaka mtoto azaliwe, mbaka bado nampenda......Kamwene endelea kujaza watoto wa mitaani sisi tunasubiri waje wafanye kazi za ndani Dar na wazalishwe na wao basi ni laana kizazi hadi kizazi.

Wasalimie hapo Ifunda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…