Ishakuwa kipengele tayari

We ni bonge la kiazi
 
Tangu nimshauri John kuachana na mkewe akaenda kumwambia mkewe nikaja kusutwa na matarumbeta... NIMEKOMAA!!!!

Sishauri mtu kwenye habari inayoitwa mapenzi.....

[emoji23][emoji23] mkuu mi nduguyako kumbuka
 
Inakuwaje u apeleka Kila mahusiano home. Huna ukomo. Self limit. Unapigaje bila tahadhari. Mimi nakushauri kama unauwezo kifedha oa wote tu.
 
Inakuwaje u apeleka Kila mahusiano home. Huna ukomo. Self limit. Unapigaje bila tahadhari. Mimi nakushauri kama unauwezo kifedha oa wote tu.

Kuoa wote sio tatizo tatizo siwezi kuoa wote
Sjui umenielewa mkuu
 
Pumbavu... Ukirogwa apa kwa ujinga wa kutelekeza mtoto wa watu usije kulia lia
 
Pumbavu... Ukirogwa apa kwa ujinga wa kutelekeza mtoto wa watu usije kulia lia

Mtoto gani tena mkuu wakati mtu mzima na kama mtoto nitamuhudumia nini tatizo hapo
 
Naomba nipatie namba ya huyo mwanamke mwingine, wewe baki na huyo ambaye mama yako anampenda.
 
Kuoa wote sio tatizo tatizo siwezi kuoa wote
Sjui umenielewa mkuu
Nimekuelewa. Mwingine umempa mimba, na umemtambulisha home, kwakuwa tayari ana embryo. Na mwingine mnapendana hata ikipita 20 years.

Amekutafuta na amekuwa kama mpya, mama mzazi anamuelewa sana, hajui pia kuwa mumerudiana.

OA WOTE MKUU. hakuna tatizo kabisa
 
Mwanaume unakosaje msimamo,wanaume wa hv huwa ni washamba wa wanawake na kwenye maisha yako yote utateswa na wanawake pi mb i mkubwa
 

Bado kipengele mkuu
 
Mwenyew mimba dini hairuhusu tupo diffe
Mwanamke Hana dini, hata sisi wakristo hawapaswi kusimama madhabahuni, basi tu ukristo ni legelege sana na kivuruge sana kwenye uhalisia kuliko maandiko.

OA tu kiongozi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…