dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Halafu ikawaje ?Mkuu nimemkumbuka bint yake aliwai nipa penzi zito Sana kipindi hicho Bab ake akiwa mkuu wa mkoa wa arushaaa
Jmn yule bint siwez msahau kamwe
Pole Sana ......kwa kumpoteza Bab Ako mzazi
Nitafatilia tararibu za masizishi kisha
Oooh shirima amekuwa tyr mwendazakeHii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.
Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.
Tunatoa pole kwa wafiwa wote.
Apumzike kwa amani.
Amefariki hospitali ya Mloganzila kwa matatizo ya kisukari na figo,Mungu amweke mahali pema peponi,one of the toughest ,smart, vibrant RC of that timeHii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.
Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.
Tunatoa pole kwa wafiwa wote.
Apumzike kwa amani.
AmenAmefariki hospitali ya Mloganzila kwa matatizo ya kisukari na figo,Mungu amweke mahali pema peponi,one of the toughest ,smart, vibrant RC of that time
Nchi hii Ukishastaafu hauna lako tena. Nobody Cares about your whereabouts or your Existence. Kuna RAS Mstaafu WA 2022 alifariki juzi kati sikuona Taarifa Yake popote ingawa alitumikia Nchi Kwa Weledi mkubwa.Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.
Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo chake wala Hospitali aliyofia.
Tunatoa pole kwa wafiwa wote.
Apumzike kwa amani.
Aiseee !! nadhani baada ya kuligundua hilo waloo hai wanaamua kuiba tuNchi hii Ukishastaafu hauna lako tena. Nobody Cares about your whereabouts or your Existence. Kuna RAS Mstaafu WA 2022 alifariki juzi kati sikuona Taarifa Yake popote ingawa alitumikia Nchi Kwa Weledi mkubwa.
asante kwa picha