Ni kweli sio ugandan,hata Nyerere alikuwa mrundi,na Chiluba alitaka kumpa deportation Kaunda eti ni mmalawi,Obama is Kenyan...politics za namna hii ni kwa watu wajinga tuu kama Mtikila na siasa zake za *********.
What difference does it make now after all these years? Time lost is never regained and Museveni has wasted over 2 decades of Uganda's time. Cha kufanya sasa watafute njia kumuondoa madarakani.
Swali moja
Nyerere alikuwa je mrundi??
Wakati Tanganyika, burundi na rwanda zilikuwa taifa moja toka 1884 hadi 1919. Na kabla ya hapo hapakuwa na Taifa la warundi ama tanganyika.
Ni dukuku duku tu.
Wakuu,
Again this information should be taken with a "grain of salt"....this guy copies and pastes information from the web without doing his own research...i think the guy should be dismissed as a propagandist....this information holds no water on great minds that is the forum members....it seem that he has personal agenda of which we cannot change him....
a lot of rubbish on the article...not worth reading at all..
This is just a hate article from a Muganda, jamii forums shouldnt be a place of narrow people like the bagandas while the World think of unification they think of a Buganda prestige! Poor nephotic people
Gela Ulole should never be taken seriously..................
bro samahani sana nakuomba uwe mstaarabu,mimi ni pure tanzanian wala huhitaji kunihisi kuwa muhutu,but what,ninachoangalia na kufanya nilete mijadala hii hapa ni utashi wangu tu kwa hawa viongozi ninaowaona ni madikteta basi,niliwahi kumzungumzia kagame hapa,sio kwa sababu nawachukia watutsi no,no,no,ni kwasababu sikubaliani na ubabe na siasa zake za kutotaka kupingwa kwa namna yoyote ile,yaani kulazimisha kukubalika,by the way museven na kagame is same trouble in east afrika,wote wameingia madarakani kijeshi kwa coup d,tat,kisha wanataka watawale maisha,haikubaliki,pia kuna swala jingine wote wawili lao moja,sasa hivi wame occupy congo na wanachokifanya huko ni balaa unaloliona na kulisikia,kagame ni mtu wa museven sera na style zao zote kiuongozi zinafanana na mbaya zaidi ni mauaji wanayoyasababisha between those two country and congo either.Museveni ni Mganda, Babukijana naendelea kupata evidence juu ya chuki binafsi zako dhidi ya jamii wa watu kama kina Museveni. Najua unataka kui-link na Tutsi Hima Empire..ebu kuwa muwazi, huwezi kuwa Mhutu wa Rwanda au Burundi, maana Tanzania tumelea wengi kwa hiyo kuna generation ambazo zimezaliwa Tanzania ila mawazo yao bado ni hizo nchi. Naamini hata "Mhutu mtanzania" wa Kigoma au Ngara hawezi kupata utashi wote huo wa kufuatilia mambo kama hayo ambayo hayamhusu! Hayo yalishasemwa juu ya Nyerere na Mkapa, kwa hiyo si hoja. Mjumbe aliyesema kupata confidence ya kufanya mambo makubwa kwenye nchi ya mtu mwingine bila uraia huwa haiwezekani..amenena! Hata kama anakosea, makosa yake hayatokani na uraia. Je angekuwa Baganda..sijui yangesemwa yapi!
bro samahani sana nakuomba uwe mstaarabu,mimi ni pure tanzanian wala huhitaji kunihisi kuwa muhutu,but what,ninachoangalia na kufanya nilete mijadala hii hapa ni utashi wangu tu kwa hawa viongozi ninaowaona ni madikteta basi,niliwahi kumzungumzia kagame hapa,sio kwa sababu nawachukia watutsi no,no,no,ni kwasababu sikubaliani na ubabe na siasa zake za kutotaka kupingwa kwa namna yoyote ile,yaani kulazimisha kukubalika,by the way museven na kagame is same trouble in east afrika,wote wameingia madarakani kijeshi kwa coup d,tat,kisha wanataka watawale maisha,haikubaliki,pia kuna swala jingine wote wawili lao moja,sasa hivi wame occupy congo na wanachokifanya huko ni balaa unaloliona na kulisikia,kagame ni mtu wa museven sera na style zao zote kiuongozi zinafanana na mbaya zaidi ni mauaji wanayoyasababisha between those two country and congo either.
ndio nafahamu pia kama ccm nayo ni uozo tu,but at least hawana ule ubabe kama wa hawa jamaa zetu,sio siri hizo nchi mbili mkuu ni balaa ukiwa against na regime zao basi jiandae tu au kwenda jela ama assasinated at any time ottherwise u have to flee the country.Bro nimekuelewa, ni kweli wale wale jamaa ni watawala wa kiimla. Ila kumbuka wana wafuasi wengi ama kwa maslahi binafsi au ya nchi zao ambao ni wanyarwanda wenzao (Kagame) na Waganda wenzao (M7). Na ni kweli wafuasi wao wanaweza kuwa si majority but they are a force to ku-reckon with. Hapo ndipo ninapopata ugumu, maana wao si rahisi kufanya wanayofanya peke yao, wasingeweza ku-survive miaka yote hiyo. Watalaam pia wanasema kuwa politics isn't about numbers. Majority can be destructive at times, si unaona CCM inavyoshinda kwa kishindo, na ugoro wanaowafanyia wanachi!
ndio nafahamu pia kama ccm nayo ni uozo tu,but at least hawana ule ubabe kama wa hawa jamaa zetu,sio siri hizo nchi mbili mkuu ni balaa ukiwa against na regime zao basi jiandae tu au kwenda jela ama assasinated at any time ottherwise u have to flee the country.
Hivi ni vibaya kujua asili atokako mtu fulani? Mimi nilidhani hiyo nisifa au historia ambayo haiwezi kufutika au vipi?
Lazima tuwwe proud na historia yetu. Mbona Obama haoni haya kusema kuwa asili yake ni Kenya. Ukweli sijamsikia hata siku moja Museveni kusema kuwa yeye ANATOKEA RWANDA AU ASILI YAKE NI MTUSI AU WAZAZI WAKE WANATOKA RWANDA. Ajabu!!!!!!!!!
Mtu mwenye uhakika na maisha yake hafichi kwao. Kujua kuwa Mzee mapesa Cheo ni msukuma ni fahari na sio ukabila, au Mrema kuwa ni Mchaga, au Che Mkapa ni Mmakonde au Mwai Kibaki ni Mkikuyu si ukabila bali ni ukweli.
Swali kwako, Hivi MUseveni ni kabila gani?
Swali moja
Nyerere alikuwa je mrundi??
Wakati Tanganyika, burundi na rwanda zilikuwa taifa moja toka 1884 hadi 1919. Na kabla ya hapo hapakuwa na Taifa la warundi ama tanganyika.
Ni dukuku duku tu.