Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Jun 21, 2013 #1 Paka wa Ulaya anaendesha Gari, Paka wa kibongo anakamata Panya kasheshe kweli dunia yetu hii ni mzunguko jamani.
Paka wa Ulaya anaendesha Gari, Paka wa kibongo anakamata Panya kasheshe kweli dunia yetu hii ni mzunguko jamani.
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Jun 21, 2013 #2 Labda ulaya hakuna panya mkuu
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Jun 21, 2013 #3 Paka wa Japani anatengeneza pikipiki
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,871 Reaction score 55,722 Jun 21, 2013 #4 Siku hizi paka wa bongo wamekuwa wavivu hata kukamata panya hawawezi, wanaishia kugombania msosi plate moja.
Siku hizi paka wa bongo wamekuwa wavivu hata kukamata panya hawawezi, wanaishia kugombania msosi plate moja.
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Jun 21, 2013 #5 Not at all! Anaishiaga kulala kwenye makochi tu!
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Jun 21, 2013 #6 MziziMkavu said: Paka wa Ulaya anaendesha Gari, Paka wa kibongo anakamata Panya kasheshe kweli dunia yetu hii ni mzunguko jamani. Click to expand... Na paka wa Uchina akijisahau analiwa na wamiliki wake ama majirani.
MziziMkavu said: Paka wa Ulaya anaendesha Gari, Paka wa kibongo anakamata Panya kasheshe kweli dunia yetu hii ni mzunguko jamani. Click to expand... Na paka wa Uchina akijisahau analiwa na wamiliki wake ama majirani.