President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,537
- 94,021
Swali liko pale pale. Is Turkana a part of Republic of Kenya!?Nionyeshe ni wapi nilisema hivyo nitoke JF. Halafu unacheka habari ya masaibu na shida? Ama huwa unafurahia wakati binadamu wenzako wanateseka?
No. It is in Pluto. Mbona unauliza maswali za kijinga hivi?Swali liko pale pale. Is Turkana a part of Republic of Kenya!?
That why Uhuru Kenyatta never visited.No. It is in Pluto. Mbona unauliza maswali za kijinga hivi?
Halafu 3/4 of Kenya ipo hivi from Turkana, Lokichar, Isiolo mpaka North Eastern mpaka Lanu. Hata Tony254 anajua yet wanadai Kenya kuna Internet 100%!Nionyeshe ni wapi nilisema hivyo nitoke JF. Halafu unacheka habari ya masaibu na shida? Ama huwa unafurahia wakati binadamu wenzako wanateseka?
Matunda ya Devolution!wakati manacheka turkana ..wao wanachapa maendeleo..wako na barabara safi sana..
View attachment 1632409
new offices of the governor of turkana
View attachment 1632378
View attachment 1632411
kabisa..maendeleo kila kona ya kenya....Matunda ya Devolution!
Hahaha ukiona hivyo swali limeuma kweli kweliNo. It is in Pluto. Mbona unauliza maswali za kijinga hivi?
So sad, duhMaisha ya huko Turkana ni zaidi ya maisha ya kuzimu.
Katika karne hii ya sayansi na technolojia watu wanasafirisha watoto kwa kutumia punda.
Turkana ni nchi ndani ya nchi, wapo na jeshi lao. Kila mtu anamilki bunduki. Tangu Kenyatta aingie madarakani sijamsikia akitembelea maeneo yale.
Yesu alitolea mfano kuzimu kwa kutumia shimo la takataka lililokuwa nje ya mji wa jerusalem. Shimo hilo moto ulikuwa hauzimiki lilikuwa linaitwa jehanamu.
Yesu angetokea leo hii angetolea mfano wa kuzimu na Turkana.
Najaribu kutafakari kama kweli shetani(ibilisi) alifukuzwa toka mbinguni na kuangukia duniani, basi huyo ibilisi aliangukia kenya sehemu inayoitwa Turkana.
Napenda kuwauliza wakenya je, mnampango gani na Turkana!? Au mmeitelekeza!?
Njaa, magonjwa, utapiamlo, vita, vurugu, shida ya maji, hakuna umeme, hakuna barabara, mitandao ya simu haisomi, ubakaji.
Kila aina ya shida zinapatikana Turkana.
View attachment 1632351View attachment 1632352View attachment 1632353View attachment 1632354View attachment 1632355
Wenzetu wakisema kenya they mean Nairobi Mombasa, Kisumu na kwa uchache NakuruMaisha ya huko Turkana ni zaidi ya maisha ya kuzimu.
Katika karne hii ya sayansi na technolojia watu wanasafirisha watoto kwa kutumia punda.
Turkana ni nchi ndani ya nchi, wapo na jeshi lao. Kila mtu anamilki bunduki. Tangu Kenyatta aingie madarakani sijamsikia akitembelea maeneo yale.
Yesu alitolea mfano kuzimu kwa kutumia shimo la takataka lililokuwa nje ya mji wa jerusalem. Shimo hilo moto ulikuwa hauzimiki lilikuwa linaitwa jehanamu.
Yesu angetokea leo hii angetolea mfano wa kuzimu na Turkana.
Najaribu kutafakari kama kweli shetani(ibilisi) alifukuzwa toka mbinguni na kuangukia duniani, basi huyo ibilisi aliangukia kenya sehemu inayoitwa Turkana.
Napenda kuwauliza wakenya je, mnampango gani na Turkana!? Au mmeitelekeza!?
Njaa, magonjwa, utapiamlo, vita, vurugu, shida ya maji, hakuna umeme, hakuna barabara, mitandao ya simu haisomi, ubakaji.
Kila aina ya shida zinapatikana Turkana.
View attachment 1632351View attachment 1632352View attachment 1632353View attachment 1632354View attachment 1632355
Maisha ya huko Turkana ni zaidi ya maisha ya kuzimu.

Hahaha ukiona wakihamia mada za Kibera au Turkana ujuwe sindano imegusa mfupa na wanajaribu kutoa stress na Turkana.Naona ule uzi wa economy umewaumiza sana[emoji23][emoji23]
Wow😍😍,, What a Gem!!Never knew Turkana was this gorgeous and beautifulYes Turkana is and will always be part of Kenya... But did you know there's much more to this County than what you see or read in the papers? What comes to your mind when Turkana is mentioned? Hunger, insecurity, underdevelopment, poor infrastructure?
Well, ladies and gentlemen... Here is a Turkana you don't get to see or read about in your daily papers!!! 😊
View attachment 1632380View attachment 1632381View attachment 1632382View attachment 1632383View attachment 1632384View attachment 1632385View attachment 1632386View attachment 1632387View attachment 1632388View attachment 1632389View attachment 1632390View attachment 1632391View attachment 1632392View attachment 1632393View attachment 1632394View attachment 1632380View attachment 1632381View attachment 1632382View attachment 1632383View attachment 1632384View attachment 1632385View attachment 1632386View attachment 1632387View attachment 1632388View attachment 1632389View attachment 1632390View attachment 1632391View attachment 1632392View attachment 1632393View attachment 1632394View attachment 1632395View attachment 1632396View attachment 1632397View attachment 1632398View attachment 1632399View attachment 1632400View attachment 1632401View attachment 1632402View attachment 1632403View attachment 1632404View attachment 1632405View attachment 1632406View attachment 1632407