Is ths theory true??

Mtoto anaweza rithi toka kwa baba, mama, babu wote 2, bibi wote wawili au anaweza changanya (akapick kidogo kidogo kutoka kwa linage hiyo). Hivyo huwezi sema kwa uhakika kuwa mtoto atarithi kwa mama yake!

hakika
 
Actually mtoto wangu hajafanana na mimi wala baba yake kwa sura babu yake mzaa baba mana bado yu hai na kijana na nimweupe kama bibi yake mzaa mama, sasa kuhusu mtoto unaweza ukachagua sana mwanamke mzuri na mweupe na ukazaa mtoto mweusi tii kama wewe na sura kama babu mzaa babu mana wanarithi kwenye family tree yako na yake
 

wewe una watoto wangapi?
mume?
 

Hahahahahaha!hii imenichekesha sana na kunisikitisha,yaani wife anamtukana mumewe mbele za wageni kuwa han mvuto duu!Ilikuwaje akaolewa nae?Maana matokeo ndo katoa mtoto wa kufanana na mahabuba wake mbaya asiye na mvuto!hii kali ipeleke kwenye jokes wenye stress zao wakavunje mbavu
 
Hapo kwenye red, Huyo mwanamke anayeujua ubaya wa mumewe kiasi hicho, ilikuwaje akaolewa nae?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…