Is ths theory true?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is ths theory true??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by adakiss23, Oct 19, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  'Ukioa mwanamke mzuri unapata watoto wazuri' ??? Is it true??

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. K

  Kironde Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pengine ufafanue zaidi. Uzuri kwako unauelewaje?
   
 3. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Uzuri upi Mkuu. Neno uzuri linaitaji ufafanuzi; uzuri wa sura? uzuri wa tabia? uzuri wa roho? uzuri gani hasa.
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  labda niiendeleza hiyo theory:
  0. Ukioa mwanamke mbaya utapata watoto wabaya
  1. Ukioa mwanamke mweupe utapata watoto weupe
  2. Ukioa mwanamke weusi utapata watoto weusi
  3. Ukioa mwanamke mrefu utapata watoto warefu
  4. Ukioa mwanamke mfupi utapata watoto wafupi
  5. nk

  labda kwa mwendelezo huu utapata ukweli, LOL!
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukioa mwanamke mwizi utapata watoto wezi

  Ukioa mwanamke malaya utapata watoto malaya

  Ukioa mwanamke kilema utapata watoto vilema
   
 6. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Uzuri wa muonekano wa mtu ni matokeo ya ubongo wako utakavyokutafsiria kile ambacho macho yako yameona. Utayake muona wewe ni mzuri, mimi nitamuona ni mbaya. KWA MAANA HIYO HAKUNA BINADAMU MBAYA WALA MZURI KWA UMBO.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mtoto anaweza rithi toka kwa baba, mama, babu wote 2, bibi wote wawili au anaweza changanya (akapick kidogo kidogo kutoka kwa linage hiyo). Hivyo huwezi sema kwa uhakika kuwa mtoto atarithi kwa mama yake!
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  watu mna shida nyie!haya siye wenye ukoo wa viazi vikuu sijui tutaolewa na nani!
   
 9. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Nakubali kuwa uzuri ni matokeo ya tasfiri ya ubongo, ila all average reasonably individuals have certain range of thinking which is common. Kwa maana hiyo kama kuna watu 100 halafu 90 kati yao wakiona mtu mfulani ni mzuri wa sura or umbo, hitimisho ni kuwa huyo binadamu ni mzuri (wa sura au umbo). Kwa maana hiyo kuna watu wazuri na wabaya katika vigezo tofauti kwa kipimo cha watazamaji wengi wanamuonaje.
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaa! Not necessarly! Ukicombine genes waweza pata vitu neutral
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh, wanasayansi wamekuwa engi sana.

  Hii ni Evolution? genetics, au Respiration?
   
 12. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Osmoregulation! Lol
   
 13. Kibela

  Kibela Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big NO
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  hahah labda mtaolewa na magimbi mtani...
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mtani wangu we acha tu!yani sasa hapo sijui watoto watafananaje pata picha mama kiazi kikuu baba magimbi,walahi mwny jibu anipe wattoto watakuwa na sura ipi!?
   
 16. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG]
  sina la zaidi ya hapo
   
 17. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  100% true, mke au mume wawe na sura mbaya msitegemee kupata watoto wazuri hata siku moja
   
 18. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Not true.. Infact ordinary looking couples ndo wanakuwa na watoto wazuri. Something with genetics and family tree. Lkn pia inategemea definition yako ya mwanamke mzuri. Offsprings are a mix of a lot of things...
   
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado kuna vigezo vya moja kwa moja vya kibinaadamu na kijamii vinavyo ubainisha ubaya kwa ujumla wake kwa hiyo vibaya vipo kwa sababu ubaya huonekana kwa vile kuna uzuri.
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh.

  Nina rafiki yangu alikuwa na watoto wa kiume wawili; mwaka huu kapata mtoto wa kike.

  Huyu mdada huwa namshangaa anambonda mwanae mbele ya wageni (ndo kwanza ana miezi 5) eti...huyu yani amefanana na baba yake mtupu...vimacho vidogo, kakichwa kabaya... na ni kweli mtoto amefanana na mmewe. Ila nilikuwa najiuliza kumbe wamama wanaweza ona watoto wao ni wabaya...nilidhani mtoto ni hata aweje mama atamuona mzuri.

  Hivyo ni kweli kabisa mtoto anaweza fanana na baba au mama...hivyo si guarantee kuwa ukioa mke mzuri utazaa watoto wazuri hata kama wewe ni mbaya...labda mkeo awe mdhungu ...kidogo weupe unaweza ficha sura mbaya ya wanao.


   
Loading...