Is ths theory true??

Mtoto anaweza rithi toka kwa baba, mama, babu wote 2, bibi wote wawili au anaweza changanya (akapick kidogo kidogo kutoka kwa linage hiyo). Hivyo huwezi sema kwa uhakika kuwa mtoto atarithi kwa mama yake!

hakika
 
Actually mtoto wangu hajafanana na mimi wala baba yake kwa sura babu yake mzaa baba mana bado yu hai na kijana na nimweupe kama bibi yake mzaa mama, sasa kuhusu mtoto unaweza ukachagua sana mwanamke mzuri na mweupe na ukazaa mtoto mweusi tii kama wewe na sura kama babu mzaa babu mana wanarithi kwenye family tree yako na yake
 
wewe una watoto wangapi?
mume?
 
Umeona eeh.

Nina rafiki yangu alikuwa na watoto wa kiume wawili; mwaka huu kapata mtoto wa kike.

Huyu mdada huwa namshangaa anambonda mwanae mbele ya wageni (ndo kwanza ana miezi 5) eti...huyu yani amefanana na baba yake mtupu...vimacho vidogo, kakichwa kabaya... na ni kweli mtoto amefanana na mmewe. Ila nilikuwa najiuliza kumbe wamama wanaweza ona watoto wao ni wabaya...nilidhani mtoto ni hata aweje mama atamuona mzuri.

Hivyo ni kweli kabisa mtoto anaweza fanana na baba au mama...hivyo si guarantee kuwa ukioa mke mzuri utazaa watoto wazuri hata kama wewe ni mbaya...labda mkeo awe mdhungu ...kidogo weupe unaweza ficha sura mbaya ya wanao.

Hahahahahaha!hii imenichekesha sana na kunisikitisha,yaani wife anamtukana mumewe mbele za wageni kuwa han mvuto duu!Ilikuwaje akaolewa nae?Maana matokeo ndo katoa mtoto wa kufanana na mahabuba wake mbaya asiye na mvuto!hii kali ipeleke kwenye jokes wenye stress zao wakavunje mbavu
 
Umeona eeh.

Nina rafiki yangu alikuwa na watoto wa kiume wawili; mwaka huu kapata mtoto wa kike.

Huyu mdada huwa namshangaa anambonda mwanae mbele ya wageni (ndo kwanza ana miezi 5) eti...huyu yani amefanana na baba yake mtupu...vimacho vidogo, kakichwa kabaya... na ni kweli mtoto amefanana na mmewe. Ila nilikuwa najiuliza kumbe wamama wanaweza ona watoto wao ni wabaya...nilidhani mtoto ni hata aweje mama atamuona mzuri.

Hivyo ni kweli kabisa mtoto anaweza fanana na baba au mama...hivyo si guarantee kuwa ukioa mke mzuri utazaa watoto wazuri hata kama wewe ni mbaya...labda mkeo awe mdhungu ...kidogo weupe unaweza ficha sura mbaya ya wanao.
Hapo kwenye red, Huyo mwanamke anayeujua ubaya wa mumewe kiasi hicho, ilikuwaje akaolewa nae?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom