CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
kuna ukweli, kule kwetu kuna usemi 'bakalagajaga nulu loya'
ni kweli kabisa sie huwa tunasema "ikunda nyi niigya"
Tafsiri basi
Mie lugha ya malkia yanchanganya..hata sijaewa!!
'huwa wanaangusha hata unyoya'. Hutumika kwa mtu asiyetoa kitu kwa jamii/familia/awapendao.
Maana yake toa, hata kama kidogo sana. Na hii ni kweli, ni upendo unaoambatana na 'zawadi au kitu' ndio hufanya kitu hicho kuwa na thamani.
Kuna dada yangu aliwahi pewa zawadi ya maji ya kunywa kwenye jug tu, lakini alitokwa na machozi ya kuikubali zawadi ile, why? Kilikuwa ni kitu pekee mtoto aliyempa akichoweza kutoa, lakini upendo uloambatana na maji yale ulikuwa mkubwa, hakuweza kujizuia.

Nitafsirie wakwetu
Eeeiyah!!!
Umenikumbusha bibi mmoja huko kwetu. Alinipa tzs 1000/-, with a wide toothless smile. Akaniambia mwanangu, ukajinunulie zawadi yoyote utakayopenda. Alikuwa na umri kama wa 95 hivi wakati huo. Hadi leo amenipa deni, kila nikienda ana tenge la wax. Kuna upendo unaogusa aisee!
ni kweli, kinachokuwa nq thamani ni upendo uliomo ndani ya zawadi hata kama ni ndogo kiasi gani.
ya mtemi Masanja umeielewa?
zawadi humnunua mtu atiiii
haya pokea zawadi ya Eid mwaaah!!