Is this real?

U continue to play games wth him thrgh chartin!mpaka aje bongo ndo utajua makapi na ngano!ila angalizo usipende sana maana mapenz yanaweza kukupa ugonjwa wa moyo.nna uzoefu na hili
 
Thank you Heaven on Earth. My heart tells me to go for it,after all hawa wa hapa hapa tunao waona kila siku wanaishia kutunda so i guess i've got nothing to lose. I keep my fingers crossed & hope for the best.

U just go for it isipotiki kuna kitu utajifunza.kuliko kuogopa sometimes.being a risk taker does not only require one to be an enterprenuer hats kwenye mapenzi pia
 
Halafu huyu mtu namshtukia

Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?

Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya

Kwanini?

Au ndio kutafuta "umaarufu"?
 
Thank you Badiebey,you are so on point! Nitaufanyia kazi ushauri wako. After all life is always about taking risks. Nampenda sana aisee and i pray that he loves me back just as much.
 
Halafu huyu mtu namshtukia

Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?

Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya

Kwanini?

Au ndio kutafuta "umaarufu"?

Kaka Eiyer, i hope you are a man (samahani kama nitakua nimekosea). I am not new here,it's just that nimebadili identity ili niweze kupata ushauri coz nisingeweza kutumia ID yangu ile ya siku zote,jamaa ataniona kama vile i am trying to back stab him. Halafu ww ni miongoni mwa wadau ninao wa admire sana kwa michango yako yenye tija so ushauri wako nitaudhamini sana.
 
Una ID ngapi JF?

Umefahamiana na huyo jamaa JF mwaka jana wakati umejiunga na JF mwaka huu!

Miss Kim

MemberArray

Join Date : 3rd May 2014
Posts : 10
Rep Power : 303
Likes Received1
Likes Given0
 
Halafu huyu mtu namshtukia

Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?

Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya

Kwanini?

Au ndio kutafuta "umaarufu"?

Jemedari nimepost kabla ya kusoma bandiko lako. Na mimi ndio nilikua nashangaa, amefahamiana na mtu mwaka jana kupitia JF wakati yeye kajiunga mwaka huu na hapo hapo anauliza is this real wakati yeye mwenyewe hayuko real.
 
Hapana hujakosea mimi ni kaka

Lakini wewe ni kwamba unawasiwasi na mapenzi ya mtandaoni kama ni halisi halafu unakuja kuwauliza hao hao wa mtandaoni ili wakujibu kama hilo penzi lako lita work

Hii ni sawa kweli?
 
Kwa hiyo huyo jamaa yako hatasoma hii post na haya mazingira kumshawishi kwamba ni wewe ndio umeandika kama kweli unayoyasema ni ya kweli? Au umemuwekea masharti ya post gani asome na zipi asisome? na una uhakika gani kwamba uwezo wa akili yake hataweza kuhisi hii ID mpya unayotumia ni wewe?
 
Halafu huyu mtu namshtukia

Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?

Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya

Kwanini?

Au ndio kutafuta "umaarufu"?

Ni mkongwe huyu Baba Paroko,hii ni Id mpya ya kuulizia hili swali,angetumia common Id comments nyingi zingekuwa ni hata wewe?
 
These things are real trust me but you have to be very cautious. Mengine yanahitaji akili yako, they say usiingie na miguu yote miwili. Ninakataa pia kuwa girls are not cheap, men like to quickly rule out so. Best wishes and do not forget to let us know how this goes.
 
Jemedari nimepost kabla ya kusoma bandiko lako. Na mimi ndio nilikua nashangaa, amefahamiana na mtu mwaka jana kupitia JF wakati yeye kajiunga mwaka huu na hapo hapo anauliza is this real wakati yeye mwenyewe hayuko real.

Mkuu,

Huyu "manzi" anadai kuwa ana ID nyingine mkuu!!!!!

Ni mkongwe huyu Baba Paroko,hii ni Id mpya ya kuulizia hili swali,angetumia common Id comments nyingi zingekuwa ni hata wewe?

Aiseeee

Ngoja na mimi nitafute ID nyingine halafu nikutongoze ....lol!!!!!!!!!
 
Well said
 
Kwa niaba ya Miss Kim asante kwa ushauri Murua Ennie
 
Last edited by a moderator:
Alafu pia u dnt even knw how he luks like, au mlishatumiana picha? kama bado then u have fallen in love with the imagination na hyo ni mbaya sana, things may go very different when u meet. Ingawa kuna watu wachache sana wameoana baada ya kukutana online lakn pia najua wengi walioumizwa na kudanganywa sana na hayo mambo ya online relations, na pia huwa much easier wote mnapokuwa mji mmoja kuliko huyo alie millions of miles away. Either way gudluck
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…