Is this real?

future plan ya maisha yenu ya mbele ndio kikubwa
 
Cc MankaM, Gorgeousmimi, Heaven on Earth, badiebey, Ennie, Nambukwa, samaritan

Please refer to the below quoted message.

 
Mkuu,

Huyu "manzi" anadai kuwa ana ID nyingine mkuu!!!!!

Hivi hamjamstukia tu huyu mtu?

Angalia mwandiko...angalia tone....angalia sentiments

Halafu jaribu kufikiri nani mmoja kati ya prolific contributors humu (of late, at least) amekuwa MIA.

Baada ya hapo jaribu kuunganisha dots......

Kuna pattern ya sentiments ambayo iko wazi kabisa na haijaanza jana wala leo...yaani ni dead giveaway and figuring out who this is, is not rocket science.

Kind of a mental and emotional case.....
 
Aisee dada una moyo. Mi hata ninaowaona niko makini nao balaa, sasa sipati picha mtu wa mtandaoni na unakiri unampenda. Ninaposoma post yako ni kwamba hata maoni ya wanaMMU hayawezi kubadilisha feelings zako maana umezama big time, na unatafuta tu reassurance if there are others who made it.

Sometimes the head has to tell the heart what it does not want to hear. Try and evaluate it using your head and not heart.
 
I like JF,Raha tupu. jimwage mama sema yote. :rapture:
 

tatizo sie kipindi tunawaza viburudisho nyie mshaweka akili kwenye ndoa. Hahahahah!!@munkari@lara1@king'asti
 
mpenzi anapatika popote iwe sokoni, dukani, kwenye daladala au basi mkiwa safari, shuleni, kazini , redioni magazetini kwenyebar au kumbi za starehe, harusini nk hivyo basi hata online dating ni njia mbadala ya kumpata mpenzi
 

"Nsabhi", nishamnyaka huyu ......!!!!!!!!!!!
 
Haya, alienitaja kwenye hii thread kaniitia nini?
 
hahaahahha.

Hamjanimisi hata.

Mumemisi mtu wa kumtundika notsi bodi na sredi zenu.

Hahaha wewe ni sawa na kachumbari u know ukikosekana pilau hainogi lol afu maajabu sasa mmezama wote na OS na kuibuka sambamba
 
Hahaha wewe ni sawa na kachumbari u know ukikosekana pilau hainogi lol afu maajabu sasa mmezama wote na OS na kuibuka sambamba

OS is my number one.🙂 Ila usimwambie. Ataringa.
 
jiandae kubadili tena ID kwa ajili ya kuumizwa!tafakari chukua hatua.
 
Distance relations huwa zina risk nyingi sana ukilinganisha na hizi za Uswazi tulizozizoea, na janga kubwa huwa ni matarajio makubwa pande zote mbili wanazojijengea kwenye akili zao, asikwambie mtu, tabia ya mtu utaijua pale utapokuwa nae karibu + yeye awe tayari kujionesha kwako yeye ni nani hasa!

Mnaweza mka date fresh sana kwa kuwa kila mtu anamtamani mwenzie kwa sababu ya umbali, ila mkionana tu na kuzoeana ile ladha ya kumisiana ikatoweka ni janga, Pia inawezekana ukawa una feel love kwa kuwa unamtafuta either kwa simu or whatsover pale unapommiss na yeye anafanya hivyo hivyo, ila mtapokaa jirani na kuanza kufatana kama nzi na kinye.si ndo mtapojua kama mwapendana au vipi.

Ushauri wangu, Kijaribishe hicho kiatu, huenda ndo saizi yako, ila ukiona chakubana au chakupwaya usilazimishe, utaota nundu za miguu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…