Mwanamke akikupenda sana ni kero kubwa sana kwako.Kila baada ya nusu saa anakupigia simu: Uko wapi sasa bebi? Unafanya nini? Njoo na Redds kopo mbili sweet wangu. Usisahau sambusa daling. Full usumbufu, simshangai huyo dada wa New Mexico.Alikuwa anampenda sana huyo boyfriend wake.