Is this love or marriage of convenience?

Yaani hawanogi kabisa Kama. Obama na Michael
Kumbe first lady aliepita alikuwa ni michael

Samahani mkuu ila nimejikuta tu nimecheka kwa nguvu

Jf ni kisima cha kuondoa stress walahiii
 
Hahahaa! Inawezekana, maana nilisikia rumour kuwa Obama ni gay.
 
Ila wamarekani nomaa....huyu Melanie anasakamwa hatariii[emoji23][emoji23][emoji23]mara kaiga mavazi ya nani sijui.
 
Maneno mingi mno, hakuna kipya chini ya jua, vyote ni marudio, marekebisho ni kidogo sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…