Is this love? (I know its not right-Part II)

Capt Nemo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,445
Reaction score
681
Hii hali unaweza kuuitaje In a relation with married woman ambaye kwa kipindi chote cha mahusiano 4 years+ hajaonyesha hata chembe ya kuwa after material gain. Maximum mzinga was two years ago alipoomba elf 15 (yes, kumi na tano) kwa ajili ya Vikoba stuff.

Mara moja moja huomba vocha ya jero (I repeat, mia tano) ambayo huishia kunipigia na kunitext mimi mwenyewe. Na ni kawaida ninapokuwa majanga yeye ku-incur costs ili tuwe pamoja (involving nauli ya kunifuata n.k). kipato chake na hali ya maisha ni moderate bordering to humble.

Alifahamu hubby wake anacheat 2 years kabla sijaanzana naye na alivumilia mpaka nilipoemerge (according to my research outcome, sio kwa maelezo yake)Taking into consideration wanawake walivyo siku hizi (after the highest bidder, they are) na the fact kwamba if money grew on trees women would date monkeys, huyu wa kwangu waweza kumchulia vipi? (no prejudice please).

Is this love




 
Emotional satisfaction by damage control following her husband's marital indiscretion is what that is, nothing more.
Love would've been if she left her husband for you (since you've been together for 4+ yrs) provided her belief entails that being a possibility. If not then love can only be with her husband...
Come on there are many women out there, don't do another's wife.
 
Binadamu are non predictable, wewe tulia
 
Mkuu...how dare you date someone's wife...Utaolewa mkuu...kuwa makini

Tena unathubutu kuja huku kufagilia kuwa na mke wa mtu...seriously?
 
so jamaa unateleza tu kwa my wife, endelea utakuja pakatwa tena hii mitandao balaa gani unalo jamaa yangu!
 
Mkuu...how dare you date someone's wife...Utaolewa mkuu...kuwa makini

Tena unathubutu kuja huku kufagilia kuwa na mke wa mtu...seriously?

mke wa mtu sumu kali....... anadalili ya kusiwa
 
Jinsi dunia ilivyo badilika
hadi mtu akikutana na wanamke asietaka pesa anashangaa na kujiuliza uliza
 
Guys, ina maana hamna mtu hata mmoja humu anayeweza kukeep issues where they are? hapa sitafuti uhalali wa what we do..nataka mniambie what you think of that woman in relation to tabia za wanawake wa kileo kujiuza directly and indirectly.. (only hawajibandiki price-tag) habari ya vikundi vya visasi na mengine is immaterial...and please spare me of your hypocricy..at least me nimekuja forward na kuadmit my sins...nyie mnaweza kuwa wa kwanza kunirushia jiwe?
 

Shauri yako utakuja kukojoa dagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…