Is this good news?

mtu anapofeli anatakiwa apate motisha na afanye jitihada asome kwa bidii ili afaulu lkn eti anafurahi akimuona mwenzake kafeli zaidi ni kujipa FALSE HOPES tu lol....
 
kufeli pekeyako ni noma mkifeli wengi ni sawa. enzi hizo ukiulizwa mbona hesabu umeanguka unajibu ilikuwa ngumu ata na wenzangu kwa darasa nao wameanguka vibaya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…