Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Nakuunga mkono...hata Somaliya ishawahi kutufunga !!Ni kweli ila sie waafrika tuna vijitabia vya hajabu sana kwani huwa hatupendi ukweli. Kabla ya kombe la dunia kuanza karibia ya wataalam wote na wadau wa soka duniani waliipa Ivory Coast nafasi ya kushinda kundi lao kutokana na kuwa na wachezaji wenye vipaji kulinganisha na nchi nyingine kwenye lile kundi. Leo wamechemsha watu wanatafuta mchawi ni nani, ndiyo maana mpira wetu hapa nyumbani haukui, kila kukicha tunatafuta visingizio wakati ukweli ni kwamba hatuchagui wachezaji wenye vipaji Taifa Stars bali wasanii wa Simba na Yanga ambao ni wachawi na sote twaelewa mchawi hafundishiki. Wadau, tutafika kweli? Ebu angalieni Tanzania ya leo inafungwa na nchi kama Rwanda au Burundi, kwa vipaji vipi? Tubadirike jamani.
Nakuunga mkono...hata Somaliya ishawahi kutufunga !!
Hivi mbona asia wa9 hawana timu hata moja na bado hawalalamiki.?
Ivory coast ilipokua katika peak ilikua inapangwa katika makundi magumu sana world cup, the same happened to Ghana ambayo nayo imekuwa ikipangiwa makundi magumu sana tangia imekua katika peak., Angalia kilichotokea jana, controversial penalty imewatoa Ivory coast world cup
It seems like Fifa dont want any African team to progress in world cup final
Key:
Peak =Kiwango bora
Mkuu juu ya yote tunayosaidiwamisaada kibao na kuwa promoted na kusogezwasogezwa kupandishwa ...Lakini failures kibao,Si unaona sasa. Utashangaa atakuja mdau hapa sasa hivi atakubishia kuwa tulionewa tu, ile mechi ilibidi tushinde.
Mkuu juu ya yote tunayosaidiwamisaada kibao na kuwa promoted na kusogezwasogezwa kupandishwa ...Lakini failures kibao,
uzembeziiii!