bepari mzalendo
Member
- Sep 12, 2012
- 18
- 7
Ivory coast ilipokua katika peak ilikua inapangwa katika makundi magumu sana world cup, the same happened to Ghana ambayo nayo imekuwa ikipangiwa makundi magumu sana tangia imekua katika peak., Angalia kilichotokea jana, controversial penalty imewatoa Ivory coast world cup
It seems like Fifa dont want any African team to progress in world cup final
Key:
Peak =Kiwango bora
Ficha upumbavu wako na hizo conspiracy theory zako. Makundi ya WC hupangwa kwa DRAWS. Process ya kuwa seeded inafahamika. Penalty ya jana was a clear penalty. Mimi nafikiri unge walaumu referees kwanza kuwanyima Bosnia a clear goal and second kwa kuwa award Nigeria a goal instead of referee awarding free kick in favour of Bosnia. Ndio maana hadi leo Waafrika tunasingizia eti hatujaendelea because of colonialism as if hao wakoloni ndio wanatuambia tule Rushwa na tubambikiziane a political motivated cases kama zile za ugaidi za Mwigulu Nchemba
Tumeshindwa tu acha waendelee wenye kulisakata soka! siye kulalama tu.