Is there any correlation between colonels and coups in west African nations?

Mimi swali langu: inakuwaje,mfano, huko Guinea, kikundi cha wanajeshi 150 kiliipindua serikali bila vikosi vingine kumtetea rais na kupigana na hao waliopindua? Iweje wanajeshi 150 washindikane na jeshi la nchi nzima?
 
Mkono mrefu huwa haukosekani kwani mara nyingi husemwa Ufaransa huwa nyuma ya mapinduzi haya.

Pia access ya funds kuhakikisha wanajeshi hawana shida.

Hivyo hata yule Jenerali kule juu yeye huwa anasikilizia tu na kusaini kinachoendelea.

Lakini kuna wakati mwingine wale wa juu "Top ranks" wakihusika kama kule Zimbabwe mwaka 2017 marehemu Mugabe alipopinduliwa, ni majenerali ndo waliongoza mapinduzi na ndo wakamtuma marehemu Meja Jenerali Sibusiso Moyo kutangaza jeshi kuchukua nchi.

Hivyo mara nyingi hutegemea na hali halisi uimara wa jeshi, nani ana nguvu zaidi kiushawishi na maelewano ndani ya jeshi, bila kujali idadi ya wanajeshi.
 
Aisee shukrani
 
Africa ya magharibi wana shida sana...
Ila wana gold (nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika) , manganese, limestone, marble, phosephorate, pumise, chuma, copper na salt.

Pia wana madini ya chuma adimu sana yaitwa Cassiterite (tin) ambayo yamewekwa kwenye kundi la madini yanopatikana sehemu zenye migogoro ya kivita yaani "conflict mineral".

Hivyo hapa utaelewa kwamba ili sehemu iendelee kuwa na migogoro ni lazima kuwepo "conflict" ili wajanja waendelee kuiba madini kama haya.

Pia wana mazao ya biashara kama pamba, karanga, mchele, mahindi, mtama, mtama na lulu na nafaka au corn.

Mungu akupe nini?

Ni upumbavu tu wa waafrika na kutojijali kunakosaidiwa na ulaghai wa mabeberu.
 
Luten Kanali Makamba, Simba Kalia, Kinana, na wale maluten walitaka kumpindua Mchopa
Luteni kanali makamba wa nchi gani? Kama ni Tanzania namfahamu luteni makamba. Unaweza ukaandika kitu kwa mbwembwe kumbe unaingiza watu chaka
 
Ila wana gold (nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika) , manganese, limestone, marble, phosephorate, pumise, chuma, copper na salt.

Pia wana madini ya chuma adimu sana yaitwa Cassiterite (tin) ambayo yamewekwa kwenye kundi la madini yanopatikana sehemu zenye migogoro ya kivita yaani "conflict mineral".

Hivyo hapa utaelewa kwamba ili sehemu iendelee kuwa na migogoro ni lazima kuwepo "conflict" ili wajanja waendelee kuiba madini kama haya.

Pia wana mazao ya biashara kama pamba, karanga, mchele, mahindi, mtama, mtama na lulu na nafaka au corn.

Mungu akupe nini?

Ni upumbavu tu wa waafrika na kutojijali kunakosaidiwa na ulaghai wa mabeberu.
Daaah, wakati tunafarakana wenzetu wanabeba Mali wanasepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom