donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,130
Salam wakuu
Straight to the point... Tumeshuhudia nchi nyingi sana za Africa magharibi uongozi wa juu (Rais) akipinduliwa na Jeshi kuingia madarakani. Miezi michache iliyopita luteni kanali mamady doumbouya alishika chat baada ya kuipindua serikali ya Guinea nakushika madaraka ya uRais, hatujapoa naona luteni kanali Paul Henry Damiba wa Burkina Faso ametwaa madaraka ya uRais.
Swali langu wakuu, Kuna mahusiano gani ya hiki cheo Cha luteni kanali na coup d'etat? Je, kwanini wasiwe mabrigedia, majenerali au wakuu wa majeshi kabisa lakini ni maluteni kanali? Naomba kuwasilisha