Is success only found in office? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is success only found in office?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prime Dynamics, Apr 28, 2011.

 1. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ebu fikiria you spend millions taking your child to an International School and thereafter to Oxford University. The end result is a Bachelors degree in IT.

  Problem is, today we do have hundreds of IT specialists, doctors, lawyers, etc.

  What does that mean?

  Many professionals with zero opportunities, now if you as a parent happen to have a sister who works in the President’s office who knows the permanent secretary in the Ministry of Finance and can get the child a job.

  That job will not exactly offer the financial freedom that will transform the child economically. But it can get the child a handsome salary and a loan in Barclay’s Bank.

  Though it can’t get him his dream house or even finance, the life style of his generation even if he worked for two decades straight without touching his salary.

  Look at the world now, everything is expensive. That acre of land in your area today that cost a mere 5m 10years ago, today it is four times that much.

  Jamani hebu imagine if leo hii your baby is 10yrs how much that acre will cost when is 30 years old. Getting a job now is twice as competitive as it was 10 years ago.

  Fikiria how it will be 20 years from now, but most of today’s parents haven’t caught on these changing dynamics of the world.

  In relation to the kind of education they are offering their children. Today’s parent like our parents long ago, still excited about taking their children to the big name schools and wanting their babies to do the big sounding courses (which sometimes end up damaging their career and become frustrated in life).

  The parent dreams of seeing the child put on that weird looking wig that judges put on complete with the all black robe. That’s the sign of success and best gift a parent can give to child.

  And one will go to extra lengths to offer that, but is success nowadays only found in offices?

  Is money found behind these computers we keep tapping on daily?

  Is a sense of achievement found in doing the same thing in air conditioned office forever earning the same salary for years?

  Is that what you (as a parent) spent millions for in international schools, putting your child into an unseen vicious cycle of boring lifestyle?


  Send the child to international school but during the holidays, take him to the farm to help with the process of milking the cows right down (wacha pia achafuke also anyeshewe na mvua), to supplying it to customers and doing all the paper work involved.

  Let the child do it thrice a week, don’t you think you would have offered him a more rounded approach to the world he will face in the future?

  If he fails to get a job as an accountant at Tanzania Revenue Authority (TRA), then he can always turn to the dairy farm without a hitch.
  If he does get a job in TRA and realizes he will be paid 3m per month, which he can actually get in a week, selling thousands of liters of milk, don’t you think he will be better positioned to see the economic sense?

  Or what if you taught your daughter during the holiday season, how to run your estate right from collecting the rent from the numerous tenants you have, to supervising the renovations and penning warning letters to the stubborn tenants?

  Don’t you think you would have offered her, another dimension to life that will come in so handy in case she doesn’t get that human resource job she badly wants?

  The world has developed dramatically but our education hasn’t. If you are a parent does your child have a wholesome education?

  Have a nice day guys.
   
 2. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Quite something to think about!
   
 3. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ila mkuu usiwe unasahau paragraphs katika writing zako.
   
 4. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Very good and inspiring, mkuu weka paragraphs please!
   
 5. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Another great piece of advice PD...Wazazi wengi tunasomesha watoto wetu bila kujua tunawaandaa kivipi kupata uhuru wa maisha. Hizi shule zenye majina ni sawa kama international school, lakini vipi kuhusu shule za ufundi (Vocational Training school). Hizi shule ni sehemu muhimu kuwaanda watoto wetu kujiari lakini wengi wetu tumekua tukizizarau kwa kuamini kwamba kusoma na kufanikiwa kimaisha maana yake ni kuajiriwa kwenye ofisi za kiyoyozi na kupiga tai kwa kwenda mbele.
   
 6. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  PD aksante tena kwa mawazo yako mazuri,japo na mimi nilisoma shule za changanyikeni lakini Sekondari ni pale Kibosho chini ya utawala wa Masista,kwanza nilijifunza kuamka mapema saa kumi na moja ,umeshatandika kitanda na kuelekea kujiandaa kwa usafi wa mwili na kuelekea kusali baada ya hapo,mnapata kifungua kinywa,na kufanya usafi wa maeneo ya shule ikiwemo darasani.

  Pia shughuli za shamba mara ya kwanza nakumbuka nilitamani kurudi nyumbani maana sikujua hata jembe linashikwaje zaidi ni kuishia kuota melengelenge mikononi lakini baadaye nilizoea na kupenda kipindi cha kilimo.
  tulikuwa tunanyeshewa na mvua kipindi cha palizi ,jua linawaka upo shambani.
  lakini shuleni napo unapata elimu nzuri tu,leo hii imenifundisha kuwa mchapakazi na kuangalia fursa nyingine.

  Huku nilipo kuna kikundi cha vijana wote ni graduate kutoka Mekelle University kutokana na ukosefu wa ajira basi wamejitengenezea ajira wanafuga nyuki na kurina asali sababu soko huku ni zuri,wameanza kuona matunda ya jitihada zao.

  Ofisi ni mahali patakapokupatia pato ,haimaniishi kwenye viyoyozi na na kukaa nyuma ya computer basi wewe ni mjanja na hapo ndiyo ofisini tofauti na sehemu nyingine si kweli,ni suala la kuangalia fursa zinazokuzunguka na kutafuta jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato.

  Mwisho kabisa aksante tena PD kwa michango yako mizuri huwa naifuatilia sana
   
 7. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,806
  Trophy Points: 280
  PD asante kwa ujumbe wako!

  Hii kwa kweli imekuwa kasumba kwetu wa-TZ hata hatustuki hata kidogo. Mawazo yetu yako kwenye kuajiriwa tu bila kufikiria fursa zingine. Waulize hata wasomi wetu leo hii wengi wanarundikana mijini kisa wanataka ajira iliyo bora.

  Kwa kweli niko mbioni kuacha kazi yenye mshahara mzuri nikaangalie na fursa zingine - hasa upande wa kilimo na ufugaji, mtu una taaluma yako nzuri katika fani fulani kwanini huchukui hatua? Huu ni uzembe, tumekalia kulilia ajira 1,000,000 tulizoahidiwa bila kufikiria mambo mengine. Kwa kweli kama hatutaachana na hii kasumba ya kutaka ajira za ofisini tu kamwe hatatuchomoka kwenye dimbwi la ufukara.

  Kama wasomi wetu wangekuwa na upeo wa kuchukua hatua naamini mambo yangekuwa mazuri sana wangeweza hata kutanua ajira kwa watu wengine.

  Asante sana mkuu kwa kutupatia changamoto na ubarikiwe!!
   
 8. l

  len Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkuu PD hapo umenena tena.

  Nafikiri sasa kuna haja ya ku-review even our education system. Iwaandae watoto kujiajiri baadaye na sio kutafuta kuajiriwa kama ilivyo sasa.
   
 9. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  I second you bro, hebu msikize huyu jamaa ROBERT KIYOSAKI anasemaje.
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Quite a chunk bro.. got mine cut out...bravo:israel:
   
 11. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kwani kujiajiri mwenyewe mpaka uende ufundi, unaweza kujiajiri mwenyewe bila kwenda ufundi

  hata wale walioenda ufundi wanaajiriwa, mtu akimaliza chuo cha ufundi unakuta hana experince ya kutosha, hajajulikana na wateja na hana capital

  hata chuo cha ufundi nacho ni shule
  haya ni mawazo mbadala tu
   
Loading...