Hakika huuu ni ukweli mchungu sana.Nawashangaa wote ila wanaume nawashangaa zaidi maana wao wana vingi vya kupoteza
For real mkuu.Love making is the sweetest thing mkuu, acha kabisa. Watu wa ngono zembe, ngono za kimasihara, ngono za kuhongana mijumba na magari, ngono za give n' take lazima waone sex ni mzigo.
Again, love making is very sweet.
Its funny how porn has become freeKipengele sana
View attachment 3411335
sasa mke kabania kipochi manyoya na upwiru unakaba utafanyaje?Ila hua huwashangai Wanawake malaya na wazinzi?
Usiseme as if unachat na watu ambao huwa hawafanyi sex,baada ya kumwaga what else?Mwanaume yoyote anayesema sex is overrated anafaa kuchinjiliwa mbali....huyo sio kidume kabisa. He might as well start batting for the other team
Hakika mkuuSex ipo overrated sana....
Ukifikiria kwa makini utagundua kuwa; Sex ndio starehe pekee kwa watu wasio na kipato cha kueleweka, au wale walio pata hela ambazo hawajazitolea jasho/hela za madeal; sasa kwa ulimwengu wa tatu ambapo ndio staili yao ya maisha na pia maskini ni wengi sana, ndio sababu hata mada za sex zinapata wachangiaji wengi sana kwa kuwa wengi wapo katika kundi hilo...
Mwmabie huyo pimbi ila kibaya zaidi hatakueelewa kabisaUsiseme as if unachat na watu ambao huwa hawafanyi sex,baada ya kumwaga what else?
Huku nchi zetu sex inapewa kipaumbele kwasababu ya vipato vyetu.Wengi huku hatujui raha ya kutembelea mbuga za wanyama,kupanda milima na vitu vingine vingi,wwngine hata TV ndani hawana,kwahiyo kama ana mke ni mwendo wa kusex tu,kwanini asisifie sex?
Nimejirekebisha mkuu. Nimeshajiona mjinga mara nyingi sasa niseme imetoshaa Sex ni upumbavu sanaKila kitu kwa kiasi na akili, sex inclusive.Sex inautaratibu wake na miiko yake, ikikiukwa inakuwa kero na hatari.Kwa mwanaume pale unapomaliza, kwa mtu ambaye hukustahili unajiona bonge la mjinga.
Sex imeharibu maisha ya watu wengi, ndoa zao , heshima na hadi kazi zao,Nimejirekebisha mkuu. Nimeshajiona mjinga mara nyingi sasa niseme imetoshaa Sex ni upumbavu sana
Unaongea kinyume wewe.Hivi husikii kuhusu mafile ya Epstein - unafikiri kule kuna maskini??Wale wakina Pdidy na the like ni maskini wale??Waarabu wanaozalilisha wadada chungu nzima unafikiri ni maskini??Sex ipo overrated sana....
Ukifikiria kwa makini utagundua kuwa; Sex ndio starehe pekee kwa watu wasio na kipato cha kueleweka, au wale walio pata hela ambazo hawajazitolea jasho/hela za madeal; sasa kwa ulimwengu wa tatu ambapo ndio staili yao ya maisha na pia maskini ni wengi sana, ndio sababu hata mada za sex zinapata wachangiaji walio wengi kwa kuwa wengi wapo katika makundi hayo...